Tecno_one Member Joined Sep 14, 2016 Posts 34 Reaction score 16 Oct 13, 2017 #1 Wakuu habari za wakati huu ni kwamba Nina shida na mwenye kujua au kufahamu zinapopatina hizi mashine pamoja na bei yake (total cost)
Wakuu habari za wakati huu ni kwamba Nina shida na mwenye kujua au kufahamu zinapopatina hizi mashine pamoja na bei yake (total cost)
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Oct 13, 2017 #2 Crusher,agiza china
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,670 Reaction score 28,875 Oct 14, 2017 #3 bukoba boy said: Crusher,agiza china Click to expand... Zinaweza kugharimu kiasi gani mkuu
Tecno_one Member Joined Sep 14, 2016 Posts 34 Reaction score 16 Oct 15, 2017 Thread starter #4 bukoba boy said: Crusher,agiza china Click to expand... Naweza kupata process au namna yakufanya hvyo?? Au kama una mtu aliefanya hvyo nakufanikiwa unaweza kuni link nae ....
bukoba boy said: Crusher,agiza china Click to expand... Naweza kupata process au namna yakufanya hvyo?? Au kama una mtu aliefanya hvyo nakufanikiwa unaweza kuni link nae ....
M Mkwaruu JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,929 Reaction score 1,709 Oct 16, 2017 #5 Nenda Sido au Tatedo watakupa uvumbuzi
Tecno_one Member Joined Sep 14, 2016 Posts 34 Reaction score 16 Jan 12, 2018 Thread starter #6 Mkwaruu said: Nenda Sido au Tatedo watakupa uvumbuzi Click to expand... D
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,211 Reaction score 137,616 Jan 13, 2018 #7 Kuna jamaa anayo huko msolwa... Ngoja kesho nta confirm naye ila na wewe ujipange tu Uwe tayari tayari Ova
Kuna jamaa anayo huko msolwa... Ngoja kesho nta confirm naye ila na wewe ujipange tu Uwe tayari tayari Ova