Yap yap ameyasoma na yote ameyafauluJambi LA kwanza he amesoma sayansi? Maana combination ya EGM ni ya biashara zaidi na ile ya CBG ni ya sayansi. Kama ana uhakika amefaulu hayo masomo ya sayansi hayo ya CHEMISTRY, BIOLOGY, NA GEOGRAPHY basi akifika shule aliyopangiwa ndiko mnaweza kuanzia kufuatilia nia ya kubadilisha combination. No jambo linalowezekana, kama ana sifa hizo!