Funga bandage kidole anachonya wengine pia hutoboa kidogo kidole na sindano akinyonya anaumia anaacha.
Kuna dogo licha ya kumsema yeye amenyonya kidole hadiu anamaliza chuo na sahivi akiwa katika kazi zake anajisahau unakuta kidole mdomoni
Inawezekana kurudia hali hiyo.
Hiyo ni Karama ya Mungu ndani yako kama usemayo ni kweli, unahitaji kulipa gharama ya kunyenyekea kwa Mungu ili uweze kurudishiwa. Sahivi ukute karama yako inatumika na mganga fulani huko, kama upo serious tuwasiliane pm nikupe maelekezo.
Katika kila tendo /maisha ya mwanadamu kuna roho inayomwongoza kufanya jambo fulani yamkini ni roho chafu ambayo husimamia matendo machafu kama wizi, zinaa,ulevi ama husuda na Roho safi ambayo husimamiwa na Roho Mtakatifu mwenyewe.
Bila Shaka umeshawahi kutaka kufanya jambo ama kusikia mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.