Na hayo maji anayapata bure broo? Kama hapati bure mbona hutuambii kila dumu ananunua sh. Ngapi. Je kama kila dumu ananunua sh. 200? Kafanye utafiti vzr then urudi tena utupashe habari iliyokamilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuko kuzuri huduma zote muhimu zipo. Maji, umeme, vyakula pia sio bei juu. Utaenjoy labda uende vijijini. Kuna vumbi jekundu pia, so gud luck broo. Mm huko ni home najua kila uchochoro.
Uwezekano upo ila ni mdogo sana. Iekeweke kuwa HIV ni miongoni mwa virus dhaifu mno, kiasi ambacho vinaweza kufa hata kwa temperature ya 45°C. Pia hata vikipigwa na upepo kwa muda hata wa masaa 2 vikiwa nje ya mwili wa host, vinakufa pia. Inatakiwa muathirika awe na virus vingi mno ili aweze...
Kama hujui unakokwenda si rahisi kusema umepotea.
Sasa kama mtu kilele hakijui HOW aseme kwamba hafiki? Ni nafikiri anza kumuelezea kinagaubaga kilele kinakuwaje kama na wewe unakijua lkn.
Asante.
Matiti ya mwanamke yanaweza yasishikwe na yakawa makubwa tu, Si kweli kwamba makalio ni sehemu sensitive zaidi ya sehemu zote za mwanamke. Mwanafunzi wa kike hachapwi kwenye makalio kwa sababu ya delicateness ya mwili wake. Kimsingi wanawake walitakiwa was I cheap we kabisa kwa sababu hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.