Nachingwea kukoje

UDSM STUDENT

Member
Nov 27, 2016
17
3
Habari za saizi wana JF most nimepangiwa kwenda kufanya field Nachingwea naomba kwa yeyote mwenye kuifahamu hii wilaya anipe dondoo zake
 
me nimeoa huko so napafahamu,ni sehemu flani kame hivi,watu wa kule ni wavivu ni sawa na Tanga tu,mbali na field ukiwa mjanja utatoka kimaisha unaweza kununua mashamba ya mikorosho ikawa ndio mwanzo wako kutoka, au ukanunua mbaazi ukazihifadhi ukauza baadae,mbali na yote wanawake wa pale kama wameongezewa asali hivi ni watamu balaa,na wengi ni mabikra kule sema pia ukimwi umesambaa kwasababu ya ile kambi ya jeshi iko kule so watchout! NOT TO THAT EXTENT
 
Unataka kukwepa au? Kama umeshapangwa huko nenda tu utafika. Kitu nachoweza kukuthibitishia ni kuwa, huko nako kuna watu ka wewe
 
Duuuuh kumbe jeshi ndo linasambaza ukimw tz au wanaongoza kwa ngono zembe?
 
Unataka kukwepa au? Kama umeshapangwa huko nenda tu utafika. Kitu nachoweza kukuthibitishia ni kuwa, huko nako kuna watu ka wewe
Sio kwamba nataka kukwepa ila naulizia ili niweze kujua mazingira,tabia za wakazi wa huko pamoja na fursa zinazoweza kupatikana huko
 
Me sio mwenyeji wa huko ila nishawahi kwenda..Kupo vzuri mkuu wala hakuna simba :):):) , usiogope mkuu
 
Kuna wanawake watamu balaa! Wanakata mauno hadi unaweza kuhisi mshedede unang'oka
 
Ngoja nikujib. Geolojia ya nachingwea ni sedimentary rocks na metamorphic rocks kidogo
 
Habari za saizi wana JF most nimepangiwa kwenda kufanya field Nachingwea naomba kwa yeyote mwenye kuifahamu hii wilaya anipe dondoo zake
Kuko kuzuri huduma zote muhimu zipo. Maji, umeme, vyakula pia sio bei juu. Utaenjoy labda uende vijijini. Kuna vumbi jekundu pia, so gud luck broo. Mm huko ni home najua kila uchochoro.
 
Back
Top Bottom