Recent content by TBOSS

  1. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule ya Sekondari Mang'aliza – Mpwapwa (Dodoma) hatuna nyumba tunalala darasani

    Mishahara yenu mnatumia kufanyia nini?!!! Au nayo pia hamlipwi?!
  2. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi hawa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha wanaumiza Watumishi wenzao, hatua zichukuliwe

    Unashindwa nini kuwataja kwa Majina?!!! Taarifa imekaa vipande vipande nyooka.
  3. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha City College (Kigamboni) kinatuzungusha tuliosahihisha mitihani yao

    Sio kuwa fedha hizo huwa zinalipwa na Baraza la wafamasia?!!
  4. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Secondary KIUTU haina Maabara, Wanafunzi wanafundishwa kwa nadharia tu

    Kwenye mitihani ya Taifa wanafanyaje?!
  5. TBOSS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    What qualities are you possesses?!!
  6. TBOSS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

    Mama yako kwani ni transgender kama na yeye ni Mwanamke yupo kundini sasa kinachokushangaza ni kitu gani?!
  7. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Huruma Hospital ya Rombo inatumia wanafunzi wasio na uzoefu

    Ni ya Serikali au Binafsi
  8. TBOSS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaopenda kulambwa mnatukosea sana

    Sio lazima ulambe, unaweza tu kufanya kama una pa kiss, una pa tease tease smooch smooch kwa mbali, huku ukiwa unaongea maneno matamu Mbona flesh tu.. Halafu wanawake wengi hatupendi hiyo ya kunyonywa na mi mate trust me.. tunapenda tu ile gentle smooches basi just be sexy na mtundu Mengine...
  9. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Walimu wa UDOM wanafelisha Wanafunzi makusudi!

    Ulitakiwa utoe na mifano dhahiri na majina yao na wamefelisha wanafunzi wangapi?! Hivi mtu unaandika kama anonymous unashindwa nini kufunguka?!!
  10. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba, Dodoma: Tunalipa ushuru, lakini miundombinu ya soko ni mibovu — ushuru unaenda wapi?

    Hilo Soko si waliambiwa wahamishwe ili wajengewe soko la kisasa lenye miundombinu mizuri walikataa?!!! Fedha za Ujenzi zipo lakini wanawatumia wanasiasa kuwakingia kifua ilihali halmashauri ya Jiji inataka kujenga soko kubwa kama la Machinga pale Magomeni. Sasa hivi wanalalamika nini wakati...
  11. TBOSS

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Nimefanya Test toka mwezi wa saba 2025 ila kila ukiuliza Mbona matokeo hayaonekani?!!! Hakuna majibu zaidi ya blah blah, Chuo cha hovyo sijawahi kuona. Unamuandikia supervisor anakuja kukujibu baada ya miezi 4, no matter what sisi watoto wa Maskini tutamaliza japo kwa mbinde sana ila Mwenyezi...
  12. TBOSS

    JamiiForums Tanzania Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

    Mbona hakuna gharama za hizo grills?! Jamvi?!!
  13. TBOSS

    JamiiForums Tanzania Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    I have a plot in Dodoma (in a very potential area) planning to Turn it into Airbnb, but I have no capital, seeking for partners to invest.
  14. TBOSS

    JamiiForums Tanzania Makabila ambayo wakioana Ndoa zao hudumu

    Msambaa je?!
  15. TBOSS

    JamiiForums Tanzania Maafa ya mvua Moshi: Watano wafariki Dunia wakiwemo Watoto watatu wa familia moja

    Unajuaje hana habari.? Yan Kamati za Ulinzi na Usalama za wilaya na Mkoa wasiwe na Taarifa ila wewe uko nayo. Wakati Mwingine sio sahihi kutoa taarifa ambazo uhakika nazo, Mamlaka za Serikali kutokee vifo vyote hivyo na wananchi wasitoe taarifa ila wewe peke yako ndiyo uwe nazo?.
Back
Top Bottom