You made my heart break again, stress zipi again? I did it over again. I didn't want it to end. Ngoja nakujaMshenzi tu huyo stress zinamuua taratibu🚮
Hii ni codeNasisitiza kwa wadogo zangu ni muhimu sana...wakikupiga bure utasikia yule ni cheap
Oya tupumzisheniKwahiyo veibozi anamalizoa : yes outing bibie
Then
Serani: No haiwezekani babue
Yeah yeah yeah, hivyo hivyo next ni ushajua nini kinachofuata, sikisemi hapaMkuu VERBOSE, naona Seran kashtuka kwamba ulimtega ili ajikwae.
Hebu ngoja nijaribu kuendeleza conversation yenu trying to predict, how it would have ended up:-
👇🏽
Seran: binafsi naweza kuja na nisile wala nisiombe mia yako.
Verbose: huo ni uongo, sio kweli.
Seran: ni kweli, ina maana huamini?
Verbose: ndiyo, mimi siamini.
Seran: basi sema, nifanyaje ili uamini?
Verbose: labda tupange siku twende "outing" pamoja ili nihakikishe kamaa kweli.
Seran: mmmmh! Jamani, outing tena?
Verbose: pick a day, time & a place, ili nkutoe out.
Seran: _________
Verbose: ________
Hana hiyo pesa ya kunitoa out huyo kenge, unampa ujeuri bure tu!Mkuu VERBOSE, naona Seran kashtuka kwamba ulimtega ili ajikwae.
Hebu ngoja nijaribu kuendeleza conversation yenu trying to predict, how it would have ended up:-
👇🏽
Seran: binafsi naweza kuja na nisile wala nisiombe mia yako.
Verbose: huo ni uongo, sio kweli.
Seran: ni kweli, ina maana huamini?
Verbose: ndiyo, mimi siamini.
Seran: basi sema, nifanyaje ili uamini?
Verbose: labda tupange siku twende "outing" pamoja ili nihakikishe kama kweli.
Seran: mmmmh! Jamani, outing tena?
Verbose: pick a day, time & a place, ili nkutoe out.
Seran: _________
Verbose: ________
Upumbavue tu😅Kwahiyo veibozi anamalizoa : yes outing bibie
Then
Serani: No haiwezekani babue
Pesa lazima iwekwe mbele, period!Nasisitiza kwa wadogo zangu ni muhimu sana...wakikupiga bure utasikia yule ni cheap
Unakuja wapi? nenda kalewe usiku kucha ndiko kunakokufaa huko!You made my heart break again, stress zipi again? I did it over again. I didn't want it to end. Ngoja nakuja
Nimekwambia nimefunga both team to score sasa nini tena Mama la Mama mboni km umepanic sana?Unakuja wapi? nenda kalewe usiku kucha ndiko kunakokufaa huko!
Duuh punguza basi mboni unanijazia sana?Hana hiyo pesa ya kunitoa out huyo kenge, unampa ujeuri bure tu!
Of course, yes & noPesa lazima iwekwe mbele, period!
Shimo za kujiwekea bure zipo kibao!! Choose ur hard!Of course, yes & no
I said yes & no, leo umeamka na kisilani wewe muoneShimo za kujiwekea bure zipo kibao!! Choose ur hard!
Labda nina mimba changa tutajuaje!!I said yes & no, leo umeamka na kisilani wewe muone