Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 840
- 1,061
Eeeheeeeeee unazidi kutoa majibu ya paper 2 ya necta.Hmm hebu ngoja kwanza, mihogo sawa naweza jikaza coz hata nikiwa mwenyewe naipiga freshy tu😆 ila maji hayo hapana kwakweli..
Uweeh! Hapo umenikosa🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ 100 in dollars au hizi sh??
Hahah uwii that can never be me! Siwezi aisee may that kind of relationship never relocate me IJN😱 kwanza ninavyovutiwa na wakaka wakimya, tena tuanze kujaziana nzi🤦🏽♀️
Sijui nianze kuwa mkimya? 🤔