Recent content by Tayomist

  1. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara Dampo Mwanza Mjini inapangishwa

    Frem ipo Mwanza Mjini mtaa wa Uhuru Dampo.. karibu kabisa na stand ya dampo. Ukubwa mita 3 kwa 2.5 Unaweza kuitumia kwa matumizi ya biashara au kutunzia mizigo. Haina dalali, piga simu: 0681439977
  2. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara Mwanza

    Kuna fremu Mwanza Mjini Eneo la Dampo karibu na stand ya Dampo. Ukubwa mita 3×2.5 Karibu. 0681439977
  3. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

    Konyagi. Ukianza na konyagi hakuna kilevi kitakachokuzingua on your way of vilaji forever more
  4. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Nilidhani utafurahi kwa ajili ya rafiki yako, ila nadhani haukua rafiki..kama ni rafik yako siuseme nae akuoneshe njia. Acha kulalamika lalamika talk to him and he will show you the way unless hamkua marafik mlikua mnazuga tu
  5. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Gonga kwenye chanzo. Unajua chanzo cha unachotaka? Gari, mke, ridhki, n.k Chanzo hakipo karibu yako, mana ukaribu pia ni utengano. Chanzo kipo ndani yako, hapo hamna utengano. Anayejua chanzo na namna ya kukitumia chanzo haoni wivu, gubu wala manung'uniko ya et fulani kapata.. fulani katumia...
  6. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Hata tukikuambia, una ubavu wa kukataa kwenda? Kama huna, we nenda ukajionee mwenyewe. Utazoea tu. Barikiwa
  7. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Mind of limitations at work. Wewe ndio tatizo, unahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho. Mana una amini katika uhaba, nafsi yako inakinzana na concept of abundance. Na nahakika hata kwenye maisha yako unapambana na uhaba bila kujua wewe ndio muumbaji wa uhaba huo. Watu wapate zaidi na...
  8. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Confusion: What is and Who is God

    God is your wonderful human imagination. God is not a big man in sky, God is what you are before your mortal body.
  9. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Katoni moja ya hizo sandals inaenda kiasi gani kwa jumla mkuu Na Mwanza sehemu gani unaweza funga mzigo.
  10. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Naomba kuunganishwa na fursa ya Kazi katika Mkoa Simiyu

    Nina Bsc. in Agricultural Economics & Agribusiness. Nina uzoefu wa miaka 4 katika:- • Mauzo na Masoko (Sales and Marketing) • Utawala (Management & Administration) Nipo tayari kufanya kazi katika nafasi yeyote na kujifunza kwa haraka. Wilaya yeyote katika MKOA WA SIMIYU. Ahsante. Simu...
  11. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Pesa za mitaji hizo vijana kachukueni

    Jambo jema sana, I'm inspired. Wacha waje kutupa sample ya katiba.
  12. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la meno kutoboka

    Kuna kuziba /filling kwa yale yaliotoboka lakini halijaoza ama kuharibika na kuuma
  13. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua bei ya POWER TILA mpya kwa sasa

    Powertillers zapatikana Dodoma, Kibaigwa. Zipo za China na Japan, Uwezo wa 15HP na 16HP. Utapata ikiwa complete, yani pamoja na jembe, rotaveta, tela, matairi ya ziada ya chuma na spana zote. Mawasiliano: 0685199512
  14. Tayomist

    JamiiForums Tanzania PPF Waanza kuita watu

    Tunazisubili.
  15. Tayomist

    JamiiForums Tanzania FIFA corruption probe targets 'World Cup of fraud,' IRS chief says

    I meant 'sports not spirts' Sorry
Back
Top Bottom