Frem ya biashara Mwanza

Frem ya biashara Mwanza

kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran

** iko prime area
** main road ( barabara kuu)
** mjini kati



biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5

ina biashara tayari

kodi imebaki miezi 6 kasoro

BEI YA KUCHUKUA HII FREM NA BIASHARA YAKE NI 17.5M

hiyo bei ni moja kwa moja na kodi yake...ila mkatana ukiisha baada aa hiyo miezi sita kasoro utaendelea kulipa kodi kama kawaida kwa mwenye nyumba

kwa mwenye uhitaji wa haraka nitafute whatsapp 0744597493

nitafute whatsapp nikutumie videos za hiyo frem

au kama unaweza kufika nitafute nikupe videos then nikuelekeze ukague mwenyewe
Unauza biashara yenye faida kubwa namna hiyo? Unahama nchi au?
 
Back
Top Bottom