Naomba kuunganishwa na fursa ya Kazi katika Mkoa Simiyu

Tayomist

Member
Apr 24, 2015
13
45
Nina Bsc. in Agricultural Economics & Agribusiness.

Nina uzoefu katika:

• Mauzo na Masoko (Sales and Marketing)
• Utawala (Management & Administration)

Nipo tayari kufanya kazi katika nafasi yeyote na kujifunza kwa haraka.

Wilaya yeyote katika MKOA WA SIMIYU.


Ahsante.
(0674252449)


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom