PPF Waanza kuita watu

PPF Waanza kuita watu

Status
Not open for further replies.
"Ukishaitwa DUCE, U/wa Taifa, IFM, UDSM ujue written inahusika. Kwani ukumbi wa ofisi zao hauwezi kutosha kuwa - accomodate wote

kama ni written kwanin wanasema watu waende na vyeti vyao origino? kwa ajili ya nini?! mi nafikir kitambulisho pekee kinatosha kabisa km ni written interview
 
kama ni written kwanin wanasema watu waende na vyeti vyao origino? kwa ajili ya nini?! mi nafikir kitambulisho pekee kinatosha kabisa km ni written interview

Hata written lazima uende na vyeti original huwa hawataki husumbufu mbeleni.
 
nafasi: Member care trainee

mahali: Duce

muda: 06/06/2015 (05:00 asubuhi).

Nitakuwapo siku hiyo kamwe sitachoka kuhudhuria usaili (mara ya 12 sasa ) wowote nitakaoitwa mpaka pale mungu atakaponifungulia njia ya mafanikio yangu.

usipotoke wala usipotoshe muda ni saa mbili asubuhi labda kama kuna makundi tofauti
 
Maandalizi ya kutosha wadau mlipata fursa ya kuitwa ktk usahili..all the best.
 
usipotoke wala usipotoshe muda ni saa mbili asubuhi labda kama kuna makundi tofauti

Jana mchana nilitumiwa email hii toka PPF:


"Dear AXXXXA MXXXXXN KXXXA,

Napenda kukutaarifu kwamba umeteuliwa kushiriki usahili wa nafasi ya kazi ya Member Care Trainee. Usahili huo unatarajiwa kufanyika tarehe 6/06/2015 DUCE kuanzia saa 05.00 asubuhi.

Tafadhali fika na kitambulisho chako na vyeti vyako original."

sasa sijui wapi nimepotosha ama nimepotoka, naomba niambie nijirekebishe!
 
Ni kwel kila nafasi wameweka tym yake..Contribution trainee ndio sa2 ila operational trainee ni sa5 na naona na hyo Member trainee nayo ni sa5 so cdhan km kapotosha ndugu Kayoka
 
hata mi nimetumiwa vlmsg na email km yako, huyo anaesa ma sa mbili ndo anapotosha watu.
 
vp nafasi ya Operation trainee,bado hawajaanza kuita...?
 
hata mi nimetumiwa vlmsg na email km yako, huyo anaesa ma sa mbili ndo anapotosha watu.

mkuu nafikir kuna mdau kaeleza vizuri sana hapo juu suala la muda inategemea uliomba post gan,kama ww umeambiwa saa5 basi hyo ndiyo itakua post yako imepangwa muda huo,ukibisha utakua unabishana na ratiba ya PPF
 
UMEFIKA WAKATI WANAOITWA INTERVIEW WAWE WANALIPIWA PESA YA MALAZI,CHAKULA NA USAFIRI,KUTIA TIJA,SIO KUITANA HUKU WATU WAMESHAPANGWA WA HIZO NAFASI.HOJA HII NAOMBA IFIKE BUNGENI.:msela:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom