Recent content by Tanye

  1. T

    Sishangazwi Na Wezi Kumtetea Mwenzao

    Hakika Maandiko Yote Matakatifu Huchukia Waovu Ila Kwasasa Nashangaa Watu Wanavyoweza Mtukuza Mdhambi Pasipo Kutubu Na Wanaaminishwa Tu Kwakuwa Wana Fikra Finyu Na Upeo Mdogo Wanaamini Pasipo Kuwa Na Maswali Changa Kama Ukishindwa Kuwaongoza Watoto 3 Utaweza Kuwaongoza Watoto Kumi?Inashangaza...
  2. T

    Sishangazwi Na Wezi Kumtetea Mwenzao

    Hakika Maandiko Yote Matakatifu Huchukia Waovu Ila Kwasasa Nashangaa Watu Wanavyoweza Mtukuza Mdhambi Pasipo Kutubu Na Wanaaminishwa Tu Kwakuwa Wana Fikra Finyu Na Upeo Mdogo Wanaamini Pasipo Kuwa Na Maswali Changa Kama Ukishindwa Kuwaongoza Watoto 3 Utaweza Kuwaongoza Watoto Kumi?Inashangaza...
  3. T

    Wapo waliojaribu kupambana na system ila mwisho wao haukuwa mzuri

    Humu Jf Walio Wengi Wana Upeo Mdogo Sana Pia Sio Kwakuwa Hawajaenda Shule Lakini Wengi Wao Licha Ya Kupita Shule Lakini Hawajui Kusoma Ila Wanajua Kuandika Tu,kwani Sifa Za Mtu Anaejua Kusoma Ni Yule Ambae Anauwezo Wa Kuitafakari Habari Na Kuondoa Fikria Zake Na Kuipima Kwa Upande Wa Mwandishi...
  4. T

    Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    Jealous acheni hao wameteuliwa kisheria kwa mamlaka aliyonayo raisi kikatiba huyo Felix anajelous namfaham fika tangia utotoni
  5. T

    Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

    Akili sio nywele kwani ingekuwa nywele sidhani kama maneno kama hayo yangeweza postiwa hapa kumtukana mtu asiyekuwa na madhara au kukukwaza wewe, mfaham kuwa Mungu hutuumba na kututafutia riziki kwa namna tofauti tofauti, Sioni shida kwa kijana huyo asiyekuwa na makuu na mtu pia anaishi maisha...
  6. T

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Vichaa ni wengi humu jmf. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. T

    Najuta kujifunza kuhonga msichana

    Eti kumridhisha!!!!dah hakuna kitu kama hicho binadamu tunatofautiana unaweza mfanyia kila kitu ila mwenzako akaja na kumchukua kiulahisi so akae kimya tu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. T

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Mpumbavu pekee ndio anaweza umiza kichwa na kuhoji juu ya jambo hilo ila great thinker wote walishalimaliza kwani zitto alikuwa ha hitajiki ktk familia ya kichademaEndapo ataomba msamaha hakika atakuwa ameuvua uha wake, Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. T

    Laptop Toshiba Satellite

    Nauza laptop toshiba satellite sh.250000,ram 1gb,hdd 180,processor,1.5 Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. T

    Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Sio saratoga tu umesahau pachawake saratoga adventure connection kaka,nilitoka dar saa kumi nambili saa 3 kaamili usiku tayari nilikuwa mwanga kigoma mjini, Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. T

    Tatizo la laptop kujizima naomba msaada

    Jamani nami ninatatizo kama hilo hilo hapo juu nimepagawa kabisa nimepo kosa troubleshooting humu ndani ktk jukwaa hili mwenye kuwahi tatua tatizo hilo plz atusaidie plz, Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. T

    Mchumba wa Flaviana Matata utata

    Amechumbiwa wapi wewe waKati kapigwa changa ili aweze kutanua mapaja vizuri tU,kama Kweli nani aliemwona????pia hivi flaviani hataki ujiko kweli na kuniambia amefanya private mno hadi mapicha yasionekane????hahahaha wengi huchumbiwa kwa maneno TU si kwamatemndo Sent from my BlackBerry 8520...
  13. T

    Show ya Leaders: Diamond na Ali Kiba ndio habari, uchawi matumizi ya pesa vyahusika

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni the man anajitambua nachokifanya pia ana jua kuimba,kucheza,kuvaa vzuri, na kutawala stage zaidi ya wasanii wote Tanzania Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. T

    Muhongo: Watanzania wawekezaji juice ndio wanaoongoza kwa utajiri kuliko wachimba madini

    Facts.kwani mifano kaitoa pili mtaji wa juice ni mdogo ila unawanunuaji wengi ,tatu hata bei ya juice ni ndogo mno kila mtanzania kwasiku anaweza nunua juice.MF. TZ Population=45000000 Price of one bottle let say 200TSHS 45000000x200=90,000,000Tshs.per day.Endapo wote watanunua kwa siku sipo...
  15. T

    Lema achinja mbuzi 25 nyumbani kwake kwa ajili ya sikukuu ya krismas!

    Hahah huyu jamaa boya kweli unatwambia ili iweje ??yeye kachinja kutokana na na idadi ya wageni alionao pia mbuzi. 25 mbona ni hela mbuzi tu. Tena huko kijijini kwao??? Hapa dar mbuzi beberu 1 ,ni 50000 .huoni kama ni hela ya kawaida tena asingeweza nunua ngombe mwenye afya Sent from my...
Back
Top Bottom