Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281


Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine..

Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..

Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari.

Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala
 
Akili sio nywele kwani ingekuwa nywele sidhani kama maneno kama hayo yangeweza postiwa hapa kumtukana mtu asiyekuwa na madhara au kukukwaza wewe, mfaham kuwa Mungu hutuumba na kututafutia riziki kwa namna tofauti tofauti, Sioni shida kwa kijana huyo asiyekuwa na makuu na mtu pia anaishi maisha bora zaidi ya hawa wote wanao mdiss,na pia anadhaminika,Sasa kelele za nini kwa mtu huyo??

MFAHAMu KUWA, UKIKAA KARIBU NA UWARIDI NAWE UTANUKIA, ameamua kukaa karibu na mtu ambaye kwa namna moja au nyingine amekuwa source ya yeye kupata pesa, Pia msisahau ukaribu wake madame ndio ulikuwa source ya kumwoa mdogo wa Diamond, hivi hamwoni kama yupo kwa sababu ana gain?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuwadi Wa wema na yeye anapewa 10% sasa vuta picha iwapo wema kalala na wanaume 1000 na kila mwanaume anampa Petit dollar 100 hahahaha
 
Kuwadi Wa wema na yeye anapewa 10% sasa vuta picha iwapo wema kalala na wanaume 1000 na kila mwanaume anampa Petit dollar 100 hahahaha

Hivi huogopi kumzushia mtu kaka? Yani unaongea kabisa hali ya kuwa unajua unachoongea ni uongo. . . Hivi mmelelewa vipi na wazazi wenu?
 
Back
Top Bottom