Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema

Mh Zitto alikuwa naibu katibu mkuu na mjumbe wa kila kikao cha maamuzi ndan ya Chadema kama.katiba ilikuwa inamatatizo alishajaribu kupeleka mapendekezo ya mabadiliko akazuiwa?. Kama jibu ni hapana basi tunashindwa nn kuamini kuwa alikuwa malengo yake binafsi?!
 
Mpumbavu pekee ndio anaweza umiza kichwa na kuhoji juu ya jambo hilo ila great thinker wote walishalimaliza kwani zitto alikuwa ha hitajiki ktk familia ya kichademaEndapo ataomba msamaha hakika atakuwa ameuvua uha wake,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ninavyomjua Zitto anaweza akawapiga U-turn hata ACT mkashangaa anaingia TLP au NRA...Ngoja muone siku atakapoamua...Ila kwa upande wangu naomba Spika Makinda asikubaliane na CDM amwache mpaka bunge litakapovunjwa July, maana jamaa bado anamajukumu makubwa ya kumalizia eg Escrow, TPA, Pesa zilizoko Uswis etc
Tutammis sana kwenye Bunge lijalo, au ikiwezekana awe mbunge wa kuteuliwa kama Mbatia..maana jamaa bado tunamhitaji sana kwenye siasa za Tanzania ya leo.

Hivi hizo shughuli hawezi fanya mtu mwengine acha mawazo ya hivyo mkuu, sakata la ESCROW liliibuliwa na David Kufulila na Si ZITTO
 
Huyu wakili wa Bob Sambeke na wapiga madili wengine nina shaka kama anajua anachofanya. Nilidhani angekomaa lile shauri limalizike nje ya mahakama kama alikuwa na nia njema.

Alifikiria kesi ile ni sawa na kesi za kupora mali za watu za mabilionea wenzake wa Arusha....na rafiki yake Marehemu Nyaga(RIP)
 
Usifikiri huyu Albert Msando ni mjinga sana.. Yeye hapo anazuga tu ili pesa yake iingie kihalali kutoka kwa mteja wake. Sasa akiwa against Zito si ataonekana ameshiriki ili ashindwe kesi? By the way huyu ndo anamsimamia Mbowe kwenye ile kesi yake ya Kule moshi..... Akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Sitaki kuamini Wakili Msomi Albert MSANDO ..tena ambaye firm yake Inajulikana anwani zake zote ..alikuwa hajapata taarifa Za Kesi kuwepo ...natambua kuwa nje ya mahakama hawa mawakili ni marafiki Sana tu na Huwa wanapeana taarifa
 
Hivi huu mshituko wote wa nini?
Kuwahishwa wiki moja tu ndio kelele zooote hizi.Maana sio angematch out of the bunge house next week?(rejea Mwananchi,leo)
Halafu huyu wakili msomi nani alimwambia kuwa vyama vya kidemokrasia haviongozi na katiba?
Zitto kafukuzwa na KATIBA.Tundu Lissu ni mtangazaji tu maana katiba ya chama hiana 'voice",vinginevyo ingepiga kelele mara baada ya hukumu.
the Alliance is there for him.
 
Huyo mwanasheria wa zitto hopeless kabisa


Hivj tangulini katiba ilopitishwa,ikawa,haina mandate ya kutoa maamuzi yaliomo ndani ya katiba hiyo


Shame kwa mtu anaejihita mwanasheria
 
Hakuna mwanasheria mzembe kama huyo Msando, anyway Zitto atakuwa m/kiti na yeye mwanasheria mkuu wa ACT ila wanasafari ndefu sana kuwaconvince watanzania wakubaliane na unafiki wao. Na ajue kwamba hakuna mtu aliyemfukuza Chadema but KATIBA DID, it has power over everyone.


Demokrasia ni kutumia vikao, kupewa nafasi ya kujitetea katika kikao husika na kukata rufaa kikao cha juu kwa kufuata kanuni za uendeshaji wa chama kama utaona hukuridhika na uamuzi.

Nafikiri utaratibu huo upo ndani ya chadema ila ZZK alikuwa haviamini vikao kama vingemtendea haki. Nadhani mwanasheria alimshauri vibaya kuwa waende mahakamani huku akifahamu kuwa katiba inasemaje juu ya mwanachama anaye peleka swala la chama mahakamani. ZZK alitakiwa afe kitu me ndani ya chama chake, haiwezekani kuwa watu wote ndani ya chama hawapendi na hivyo wasinge weza kumtetea kama hakuwa na makosa.

Yawezekana alikuwa anafahamu kuwa makosa yake yamedhihirika na hivyo asingepata mtu wa kumtetea, njia pekee ilikuwa kwenda mahakamani ili kusogeza muda asiondolewe kwenye ubunge. Ni kweli kwa sasa tunahesabu miezi 3 bunge livunjwe.

Kwa maoni yangu mwanasheria ha kumshukuru vizuri Zitto na yeye pia hakutafakari vizuri juu ya uamuzi wake wa kwenda mahakamani.
 
Jamani si kwa mujibu wa katiba.Dont take it personal
 
- Mnasema haya maswali yameandikwa na Mwanasheria? Pole sana Zitto I hope now utajifunza na hawa wanasheria wa Instagram

- Le Mutuz

Kwa mara ya kwanza tangu umezaliwa umeandika point nzuri! Congrats
 
Matusi ya nini! kwani mtu kutofautiana na mawazo yako ni dhambi pongezeni watu wanaofikiria tofauti na nyie ndio wanao wajenga hao hata kama wako wachache.

Huyo msando Alberto asijitie umajinuni hiyo ndo katiba iliyomweka mabogini kama alijua sio ya kidemokrasia angeenda TLP mshamba sana huyo kama vipi aende nae ACT hatutaki virusi chadema
 
Principal's relationship, the agent must work to the best of the principal's interest
 
Matusi ya nini! kwani mtu kutofautiana na mawazo yako ni dhambi pongezeni watu wanaofikiria tofauti na nyie ndio wanao wajenga hao hata kama wako wachache.

Nionyeshe tusi moja tu hapo kwangu ili nimuombe mods anipige ban plz
 
Back
Top Bottom