Hakika Maandiko Yote Matakatifu Huchukia Waovu Ila Kwasasa Nashangaa Watu Wanavyoweza Mtukuza Mdhambi Pasipo Kutubu Na Wanaaminishwa Tu Kwakuwa Wana Fikra Finyu Na Upeo Mdogo Wanaamini Pasipo Kuwa Na Maswali Changa Kama Ukishindwa Kuwaongoza Watoto 3 Utaweza Kuwaongoza Watoto Kumi?Inashangaza Sana,nakulilia Wewe Unaeshabikia Pasipo Kujua Wakitakacho