Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Mwanangu akirudi mpe mfueni wa kutosha kugongewa kunauma axeee
 
we shemeji wewe mi labda nikatwe mikono ndo ntaacha kuishika

Kwa hiyo shem ukisikia text imeingia tu wewe kiroho juu.. unajiuliza kama its frm mchepuko..? Huoni huoni unajipa presha za bure..?
 
Mwanangu akirudi mpe mfueni wa kutosha..... kugongewa kunauma axeee

Siishi naye. Anaishi kwao. Jana aliniaga anakwenda UDOM kufuata cheti chake. Lakini toka asubuhi hapokei simu. Muda huu ametoka kunitumia text hii.....baby huamini kama nimesafiri? kwenye gari kelele nyingi ndo maana cpokei simu zako. But, kiuhalisia huu ni half time ya mgegedo. Duh, imeniuma siyo siri, mara ya kwanza kuchapiwa. Huwa naacha siyo kuachwa!
 
Kuhonga Ni karama na kipaji mtu huzaliwa navyo huwezi kujifunza Tu kuhonga ukubwani angalia usilazimishe fani tuachie wenyewe

Aisee, nimejifunza kufuatafuata fani za wengine. Kuna rafiki yangu juzi amemhonga demu wake laptop apple, amempa flat screen TV, kitanda classic. Huwa namshangaa anaona ni poa tu kuhonga. Mimi nikataka nijaribu, sasa nimekatishwa tamaa!
 
Siishi naye. Anaishi kwao. Jana aliniaga anakwenda UDOM kufuata cheti chake. Lakini toka asubuhi hapokei simu. Muda huu ametoka kunitumia text hii.....baby huamini kama nimesafiri? kwenye gari kelele nyingi ndo maana cpokei simu zako. But, kiuhalisia huu ni half time ya mgegedo. Duh, imeniuma siyo siri, mara ya kwanza kuchapiwa. Huwa naacha siyo kuachwa!

Pole sana kiongozi... kuna princple moja mwenzio hua naitumia ingawa ni hatari sana ila kiukweli inanifaa.. kwanza usimuamini mwanamke yeyote.. then usiwe na mwanamke mmoja tafuta kama watatu hivi zaidi yake.. na jitahidi kadiri iwezavyo wote wawe wazuri.. ikiwezekana wawe na features kama za huyo umpendae... hapo hutokaa uumie hata siku moja trust me
 
Kuhonga Ni karama na kipaji mtu huzaliwa navyo huwezi kujifunza Tu kuhonga ukubwani angalia usilazimishe fani tuachie wenyewe

Ha ha ha ha ha ha haaaa hili nalo neno mkubwaa!
 
Pole sana kiongozi... kuna princple moja mwenzio hua naitumia ingawa ni hatari sana ila kiukweli inanifaa.. kwanza usimuamini mwanamke yeyote.. then usiwe na mwanamke mmoja tafuta kama watatu hivi zaidi yake.. na jitahidi kadiri iwezavyo wote wawe wazuri.. ikiwezekana wawe na features kama za huyo umpendae... hapo hutokaa uumie hata siku moja trust me

Ni wazo zuri. Nimeshaliwaza lakini tatizo langu ni moja. I tend to carry a true love in my heart. Pili, wakati mwingi nakuwa na demu wangu, napenda kuishi kwa kumwamini mwenzi wangu. Nikiwa naye wanawake wengine nawaona vichaka. Mwisho, tunapima kila mara hivyo, nakwenda peku. Sasa kuwamiliki wawili au tatu, ni ngumu sana kwangu. Labda nianze mazoezi!
 
Ha ha ha ha haaaaa dunia ina maajabu hii na naamini hayataisha kamwe,kaka kasimu ka 650 tu kanamutoa povu mweeeeh!!hii fani kweli huiwezi tuachie wenyewe!!
 
sijalih

Hahahaaaaaa,umenifurahsha sana.So mwambie mwenzako asipanick sana coz 650 ni ndogo tu we ushahonga zaidi yake.
 
Last edited by a moderator:
Umetoa Nokia una umwa roho, ungempa I phone si unge kufa kabisa? Wacha kua na mawazo ya kizamani kama umempa basi achukue halafu Basi sahau, ivi niulize unamtimizia kweli haja zake? Au ukiridhika wewe ndio basi? Ebu jiulize kwani Wewe unanini na huyo anaemfata ananini?
 
Eti kumridhisha!!!!dah hakuna kitu kama hicho binadamu tunatofautiana unaweza mfanyia kila kitu ila mwenzako akaja na kumchukua kiulahisi so akae kimya tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaaaa! Laki 6 tu unalalamaaaa!!
Ukiona hivyo haujafika dau kijana na maujanja zero, so tulia usaidiwe.

Cku nyingine chukua wa size yako.
 
Back
Top Bottom