Tatizo la laptop kujizima naomba msaada

Tatizo la laptop kujizima naomba msaada

Tafuta mtaalam anayejua mambo ya computer mwenyewe toshiba ilizima ghafla ikawa haiwaki mpaka utoe betri then urudishe ndo iwake nilivyopeleka kwa fundi tatizo ilikuwa window ikabidi niipige chini now ipo okay

Wabongo mnadanganywa kirahisi sana na mafundi...

Kutokuwaka kwa PC kutoka kwa power button hakuhusiani kabisa na matatizo ya OS...

Kabla OS haijaboot kutoka kwa HDD, kompyuta lazima ianze kwa kuwaka hardwares zote muhimu (hapa ni umeme kwanza), then kunakuwa na self check ya hardwares zote muhimu (hapa bado OS haijaload), halafu mwishoni ndio OS inaload...
 
Haiwaki kabisaa.

Wewe utakuwa umepiga shoti kwenye motherboard au lah power supply imekutwa na shida...

Tafuta fundi mzuri wa umeme wa kielekroniki ajaribu kuichunguza hiyo kompyuta yako...

Kama upo Dar kuna jamaa wapo Posta wanaitwa KVD wapo opposite na Puma Gas Station ile karibu na TTCL...
 
Na mm niweke tatizo langu...

Ka dell kangu latitude e6400 kanaheat sana sahivi....yaani ukiwa unatumia mfano ukawa net au kiwatch movie bhasi kitachemka na kustack kabisa hadi nikazime kwa power button.

Binafsi nahisi ni window lakini haina hata miezi sita hiii window, je! nifanyeje?

Cc wataalam
 
Angalia 5v line system, hasa fuse zote mbili. PM
 
Wakuu nataka kuunganisha computer mbili ziione printer.

sitaki kuset local network mpaka nipate server.
 
Kwangu pia toshiba ilizima ghafla but nika unstall window na kuirudusha tena window 7 but haitaki ku updates antvirus na huzima ghafla but nikiwa nafanya kazi nyingine haizimi.
 
Yangu tatizo screen haiwaki ila taa ya betri inawaka ni aina ya hp.
 
Jamani nami ninatatizo kama hilo hilo hapo juu nimepagawa kabisa nimepo kosa troubleshooting humu ndani ktk jukwaa hili mwenye kuwahi tatua tatizo hilo plz atusaidie plz,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe utakuwa umepiga shoti kwenye motherboard au lah power supply imekutwa na shida...

Tafuta fundi mzuri wa umeme wa kielekroniki ajaribu kuichunguza hiyo kompyuta yako...

Kama upo Dar kuna jamaa wapo Posta wanaitwa KVD wapo opposite na Puma Gas Station ile karibu na TTCL...

kam ni short kweny motherbod itapona si au ndio mather bod mpya inatakiw.maan mda mwngne nilikuwnkichomek usb haiwak.mpak niitoe
 
kam ni short kweny motherbod itapona si au ndio mather bod mpya inatakiw.maan mda mwngne nilikuwnkichomek usb haiwak.mpak niitoe

Kuna case kama hiyo ishawahi tokea kwa laptop, port ya USB ilikuwa na shoti kiasi kwamba ukichomeka tu waya ku-complite circuit basi laptop inazima...

Siku kadhaa baadaye ikazima kabisa, ikarudishwa nje (nje ya TZ) kufanyiwa repair...

Technician wa huko akagundua tatizo lilianza na kulegea au kufa kwa USB port, shoti yake ikaenda kuua power supply (ni kijicircuit board kidogo na kinajitegemea)...

Hivyo akabadili port mpya na kile ki-power supply circuit kikawekwa kipya...
 
Kuna fundi yupo msasani kaajiriwa na Tirdo yupo vizuri sana na bei zake ziko poa alinisaidia sana kwenye laptop zangu 2 ila mara nyingi anafanya kazi hizi jumamosi na nje ya muda wa kazi mtafute kwa 0766507080
 
Kuna case kama hiyo ishawahi tokea kwa laptop, port ya USB ilikuwa na shoti kiasi kwamba ukichomeka tu waya ku-complite circuit basi laptop inazima...

Siku kadhaa baadaye ikazima kabisa, ikarudishwa nje (nje ya TZ) kufanyiwa repair...

Technician wa huko akagundua tatizo lilianza na kulegea au kufa kwa USB port, shoti yake ikaenda kuua power supply (ni kijicircuit board kidogo na kinajitegemea)...

Hivyo akabadili port mpya na kile ki-power supply circuit kikawekwa kipya...
Kwa matumizi ya kawaida kama,Internet, shule na kuweka record mbalimbali ni Brand ipi ya laptop ni nzuri kati ya Dell,Hp,Toshiba?? Na bei zina range sh ngapi?
 
Kwa matumizi ya kawaida kama,Internet, shule na kuweka record mbalimbali ni Brand ipi ya laptop ni nzuri kati ya Dell,Hp,Toshiba?? Na bei zina range sh ngapi?

HP na Dell ni top brands, binafsi siwezi kumshauri mtu anunue Toshiba wakati kuna HP na Dell...(samahani kwa wapenzi wa Toshiba)...

Kwa habari bei mmmh...sorry sijawahi kununua laptop Tz lakini kama utanunua kwa Dar nafikiri JM Mall au Haidery Plaza kuna wauzaji wanaoaminika...
 
Ipo ivi wakuu, am an expert computer technician na nimekutana na computer nyingi sana zenye matatizo lukuki, kama jamaa anavyosema hapo juu, kuna machine nyingi tuu nimeshakutana nazo hazina fani kabisa, hua zinakua na internal cooling system, na hata processor yake, controller, na vga yake hata utumie kutwa nzima ukicheki movies unakuta zimepoa kabisa,hazipati joto kabisa, hapo fundi inawezekana hajaiba chochote ndugu, also hiyo pc yako kana adapter ni nzima itakua imekufa super power ic ndio hua ni ugonjwa wa toshiba nyingi. Unaweza kunichek 0784234391 kwa ushauri.
 
HP na Dell ni top brands, binafsi siwezi kumshauri mtu anunue Toshiba wakati kuna HP na Dell...(samahani kwa wapenzi wa Toshiba)...

Kwa habari bei mmmh...sorry sijawahi kununua laptop Tz lakini kama utanunua kwa Dar nafikiri JM Mall au Haidery Plaza kuna wauzaji wanaoaminika...
Ndaga fijo mnyambala.
 
Nina Acer Aspire 5601 AWLMi adapter yake ni mpya kabisa lakini machine aiwaki hata taa ya battery haioneshi kitu yaan sijui nifanyeje msaada tafadhani na kam ni kutengeneza itacost kiasi gani ili nijipange kbsa
 
Back
Top Bottom