Kwa hiki kinachoendelea, ipo siku kitafika mwisho ....
Hata kama kweli tunapenda vyeo basi pale unapokosolewa uwena uvumilivu.
Mwisho wa haya yote yanayoendelea pengeni ukombozi uu karibu
Yaa nikweli kabisa ni zaidi ya miaka 5 nilikuja hapa JF kuomba ushauri lkn kwa kifupi tuu ni kwamba ilinibidi kukubaliana na hali kwanza Cz haikua rahisi ukizingatia mwenzangu (mke) alikua serious sana na hakua tayari kuacha kwenda kwa namna yoyote Ile so nilimwacha aendelee na hicho kikundi...
Ubaguzi unaanza kwenye fikra yako ndipo unakuja kwenye uhalisia, wao wamendika kutoka na mahitaji ya tasisi yako! Achana na fikra potofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu binti yuko smart sana, ndio hivyo financial status ya familia ni changamoto. Ila anaweza kuchagua sample ya Kazi ambazo atakua willing or comfortable kuzifanya.
Cz kuna watu wanashida na mabinti wa Kazi je atakua tayari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, poleni kwa majukumu yakulijenga taifa..... Kama kichwa kinavyosema hapo juu ninataka kujua machimbo ya nguo nzuri (mtumba au special) pamoja na viatu kwa bei poa (cheap) sio kwa hawa wamachinga .... Cz ninampango wakufanya hiyo biashara soon lakini haya machimbo sijui yalipo ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.