Unakumbuka kauli zao na ushauri walioutoa kabla ya waraka wa jana?
Shida siyo mwekezaji mwarabu shida ni aina ya mkataba,ni mjinga tu ataamini hapo kuna harufu ya udini na kama ni kwa nia nzuri kweli kuna ugumu gani kuvibadilisha hivyo vipengele ili kama kushindwa washindwe au wakubali ili kuilinda hadhi yetu?
Kweli karne hii ni ya kusaini mkataba usiokuwa na ukomo?kwamba kama nchi siku mwekezaji akitaka eneo la ikulu pale aweke kibanda achome nyama ya ngamia ale na tende asizuiwe tukizuia anafungua kesi tunalipishwa mabilion,hivi kweli Watanzania 60mill tukubali hata hili kweli???