Naomba msaada wa kazi kwa mdogo wangu

Kona4

Senior Member
Nov 1, 2019
145
242
Hello JF.
I hope all is well with you.

Nina mdogo wangu (wa kike, 20 years) namtafutia kazi.

Kutokana na pesa kukosa za kumwendeleza kimasomo, nalazimika kumtafutia njia nyingine ambayo ni ajira, arudi shule uwezo ukipatikana!

Elimu yake; kidato cha nne, mwaka 2018

Umri; 20 years

Academic perfomance:


Biology C
Kiswahili.......C
Physics.........D
Chemistry.....D
Civics...........D
Geography....D
English.........D
History.........D
Basic Maths: F

Naomba msaada kama itapatikana nafasi ya kazi itakayomfaa binti wa miaka 20 na elimu hio tajwa hapo juu.

Mawasiliano makuu: 0759330110

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu binti yuko smart sana, ndio hivyo financial status ya familia ni changamoto. Ila anaweza kuchagua sample ya Kazi ambazo atakua willing or comfortable kuzifanya.
Cz kuna watu wanashida na mabinti wa Kazi je atakua tayari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado natafuta.
Kazi ikipatikatikana Dar itapendeza zaidi.
Nashukuru sana kwa mdau kutoka Mbeya amenipa shav kubwa sana.
Mungu azidi kukubariki japo nimefeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kozi Yoyote Ya Afya Akiomba Atapata Tu..Kama Clinical Officer(CA) Anaweza kufanya certificate..Laboratory Diploma Pia..Na Nyingine Zote.
 
mkuu unaonaje ukamuangalizia stationary jiran!? aongeze skills hapo huku polepole ukijipanga for the next move.
 
Back
Top Bottom