Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,745
- 44,226
Fanya maamuzi kama Mwanaume uliekamilika,piga stop haraka unakaribisha matatizo makubwa nyumbani kwakoNashukuru sana mkuu .... Nimekuelewa, niliuliza hili swali baada mke wangu kuanza kusali huko sasa Imekua changamoto maana Mimi nasali Lutheran yeye anasali huko faragha na huku Lutheran sasa nashindwa kuelewa which is which.....
Ushauri plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app