Wakuu Troublemaker na Chief-Mkwawa kuna Pc inauzwa nimeona tangazo ...he ipo sawa hii?? Gaming Laptop Nvidia Core i7
Ram 12GB
Storage 500GB
Nvidia (vram) 2GB
Iko na games kibao
Bei kitonga 320k
Mteja serious nchk (Ubungo Riverside)
nafikiri habari za kuondoka kwa John Murtough zinaweza kuwa nzuri kama habari za INEOS kuwa na maamuzi ya upande wa masuala ya mpira.
Zama zimebadilika sana, uongozi mzuri wa masuala ya mpira unaamua timu isimame wapi..
Ten Hag alifanya vizuri Ajax sababu aliwekewa msingi mzuri ambao yeye...
Mkuu habari yako....mimi naswali hivi unaona kipara tutafika nae nchi ya ahadi?? Je unaona majeruhi na kukosa ubora ni chanzo cha sisi kuwa wabovu namna hii??..
Je kipara ni mtu sahihi??
Wasalam
Sijajua board wanaangalia mpira gani.... so far tumekuwa ovyo kweli.... Timu yetu wachezaji hawasurvive sababu ya mfumo mbovu wa uchezaji....ila badala tukomae kujenga structure nzuri tunazidi kudidimia
Nipo na afya njema Mwenyezi Mungu anasaidia....ni majukumu tu yanabana....pia toka bwana...
Nimehakikisha leo Ten Hag hawezi kufanikiwa akiwa na Manchester United..... Sisi ndio timu pekee ambayo tunatafuta mpira alafu tukipata hatujui tupeleke wapi....pattern ya kushambulia hamna kabisa..... Hojlund ni mchezaji mzuri ila anaflop sababu hata kupewa pasi 2 hapewi
Yani mkuu hatuna style ya mpira tunayocheza na sijui hata total football kama ipo hivi... Kuna mtu anaiita haram ball...
tunakosa creativity ya kocha kwenye final third ndio maana hatufungi magoli mengi
Mda wote unaona kuna nafasi katikati lakini tunacheza side passes zisizo na maana
binadamu anaeweza paa hayupo, pia mambo ya Mungu ni rohoni, kuona vitu live kazi kwa maana ukiona hauwezi kuwa sawa tena...
Dunia inamengi sana, way back nimewahi umwa pia nikaaga kuwa nakufa na nakumbuka kuna hali ilinipata nikalala sikumbuki chochote lakini nakumbuka niliona wanyama wa ajabu...
Miujiza ni kitu kinachowezekana Kwa wenye haki na wasio haki mkuu....Kwa maana Mungu ananamna yake ya kukutana na watu....
Mimi kipindi muhuni muhuni tu nimewahi kuwaombea wanafunzi hadi wakadondoka na kutapika vitu, pia mimi nimewahi fanya maombi ya uhitaji nikapata milioni 1 Kwa njia ya...
mkuu wapo, maana hatuwezi jihesabia haki, lakini kuna watu wanaishi katika utakatifu ni ngumu lakini wapo....na kingine ni kuishi katika toba maana ndiko kunapopatikana chemchem za uzima...
"Ee Mungu, unihurumie, mimi ni mwenye dhambi" ulifanya farisayo apatane na Mungu. Kujinyenyekeza ni...
Nina shuhuda fulani, ni vile tu watu huwa wanahisi hao Simba ni hatari mbele za Mungu
Pia tusipende kuona vingi, kuna vitu Mungu anatuepusha navyo bila sisi kuona ni vya hatari na kutisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.