Recent content by TAITUZA

  1. T

    I need help - love is blind

    We mpe hiyo kitu anayoipenda mpaka aichokle!
  2. T

    Ndizi iliyomenywa na ambayo haijamenywa!!!!

    Mmmmmmh?wachangie wakina dada, kwa kuwa wao ndio wanaousikilizia utamu.
  3. T

    Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

    SAMAHANI KAMA KUNA MABINTI WATAKAO KASIRIKA, ILA INABIDI TU NICHANGIE KWA HAYA NINAYOYAONA. KWA UFUPI NI KWAMBA DODOMA HAKUNA MABINTI WA KUOA. MKOA HUU UMEHARIBIWA NA WAHESHIMIWA, YAANI KUNA JAMAA YANGU MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI,ALIWAHI KUNIELEZA WAKATI NIKIWA BADO MGENI KWAMBA NDUGU...
  4. T

    Dominique strauss kahn anatisha!

    Gazeti la daily mail la marekani limeripoti leo hii. Kichwa cha habari,"imf boss dominique strauss kahn semen found on shirt of hotel maid accusing him of sex assault" na linatiririka kama ifuatavyo, 32 years old chambermaid told cops strauss kahn charged at her in the nude,tore at her clothes...
  5. T

    Hivi unaweza ukafall in love na mtu ambaye hujawahi kumwona?

    Ni kipaji cha kutongoza ndio kinachochukua nafasi. Unajua kuna watu wamejaaaliwa kutongoza bana, tena si kwa barua wala meseji tu. Bali hata kwenye simu babaaake. Kalaghabaho weye!
  6. T

    Uwezo wa tendo la ndoa

    Body exercise and meal balance ni vitu muhimu, kuna mdingi anaishi jirani na hapa nilipo ana kama nyundo 60 hv, lkn kuna bar maid mmoja alijirengesha katupa mchapo kwamba yule mzee acha, alimfunga kama goli 5 hv na gemu akataka kuendelea. Binti wa watu akasema baaasi. Huyu mzee kaka kila asubuhi...
  7. T

    Hivi siku unagundua hili utafanyaje?

    Asha D. MBONA IMEKUUUMA? AU NA WEWE UNACHAKACHUA NINI? WACHA WATU WACHANGIE MADA!
  8. T

    kalamba mavi

    Makubwa1
  9. T

    Hot hot:Kigauni tu

    Mada nyingine bana, zinapotezea mbayaaaaa!
  10. T

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    hakuna tatizo kuonyesha,mbona matukio mengine ya watu wa kawaida tunayaona? wacha tuwaone wenye imani za Kishirikina wakihudhuria. TBC MPOOOO? TUONYESHENI BANA!
  11. T

    Maumivu makali sehemu ya siri baada ya tendo la ndoa

    HUWA INATOKEA IWAPO KITU KIMEENDA WINGA KWA MUDA MREFU BILA KUCHOMEKWA KUNAKO, NA KIKISHA CHOMEKWA MAUMIVU HUBAKIA KTK KENDE PAMOJA NA MTALIMBO baada ya tendo. USIRUHUSU MTALIMBO USIMAME KWA MUDA MREFU. NA IWAPO HUWA UNATUMIA MUDA MWINGI KUMUANDAA MWENZIO BASI WAKATI WA KUMUANDAA MWENZA...
  12. T

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Naskia alikuwa anamiliki majini milioni9 moja, sasa nani atayarithi, kwani yakitawanyika mitaani bila kufugwa mayooooooooooooooo? Maweeeeeeeeeeeeeeeeh! Tumekwisha!
  13. T

    Ujambazi na mauaji Arusha waanza tena

    wachimba mawe wadogowadogo wakiyakosa mererani kwa muda mrefu,hurudi mtaaani kwa spidi ya nyati,kukaba kupora,na hata kuua. NA SUALA HILI SI GENI KWA POLISI, Na wengine hudiriki kushirikiana na polisi ktk kufanikisha hili. mkoa huo unahitaji mabadiliko ya kiuongozi ktk jeshi la polisi na ktk...
  14. T

    jamani yamemkuta huyu best yangu je mna ushauri?

    Huenda chapa nalo uko sahihi,mwingine?
Back
Top Bottom