Ndizi iliyomenywa na ambayo haijamenywa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndizi iliyomenywa na ambayo haijamenywa!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 28, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kwenye vijiji vyetu na baadhi ya makabila wamekuwa wakibishana ubora wa hii kitu,hasa wanawake,wengine wanasema bora ibaki kama ilivyoumbwa wengine wanasema bora imenywe,je ni wa JF mnasemaje????
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Peleka kwa wakubwa huko.....
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kumbe watoto hamjalala!!!!
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  he eeeeeeeeeee ndizi si tunda dearest? au wataka lianzishwe jukwaa la matunda????

  mi sijawahi kula ndizi yenye ganda,na tangu wadogo tunamenya ndizi ndo tunakula,utakulaje ndizi na maganda yake,tamedondoka kwenye udongo,wakati mwingine yana hata konokono.....:pound::pound:
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eiyer haya mambo si ya faragha zaidi na yanahusu watu wawili walio kwenye uhusiano/ndoa ? leo vipi ulikesha San ciiro vimwana manywele nini ? laga za pale na ule ubaridi mhh!
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Ha?Ha,ha,he,he,hee!Kumbe hujala ndiz ambayo haijamenywa!!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Mi mgeni hapa mjini!!
   
 8. T

  TAITUZA Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh?wachangie wakina dada, kwa kuwa wao ndio wanaousikilizia utamu.
   
 9. U

  Utamuwapipi Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  ntarudi bdae nlikuwa napita
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kusoma hujui yaaani hata picha?hebu toka na kihedemswede chako hapa
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Mie namsubiri 'Utamu-wapipi arudi kutoka town,aweza kuwa anaelewa haya mambo ya utamu-utamu,teh,teh,teh!
   
Loading...