Uwezo wa tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwezo wa tendo la ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbava, May 21, 2011.

 1. Mbava

  Mbava Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni katika umri upi Mwanaume huwa kiwango cha uwezo wa kufanya tendo la ndoa hushuka. Msaada jamani? Mpooo!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wanawake wametofautiana na maumbile ya walio wengi wao hua wanapofanya hio shughuli hawabahatiki kufika safari yao.... Au wakifika safari inachukua siku nyiingi mno hivyo kumfanya mwanaume anaemsindikiza hio safari kuchoka na kuishia njiani... au akafika kabisa - lakini kutotaka arudie safari na huyo mdada/mmama. Hiyo inawafanya wanawake wengi akifika utu uzima na akaolewa kwake inatosha hajali hio safari wengine wakiwa na umri hata chini ya miaka 30...

  The most common ni kipindi ambacho mwanamke akifika wakati wa menopause from 45 -60 (hedhi hukatika hapa) ni moja ya sababu kubwa mana humfanya mwanamke ajisikie kama kapitwa na wakati na uzee ndo usha ingia - na kama unavyoelewa kua psychology ina play part kubwa saana katika sex...

  Hata hivyo personaly naamini hakuna umri kamili... ina vary from a woman to woman, conditions and environment pia... Ila sana kuanzia miaka ya late thirties (hasa wanaoishi maisha magumu) to hata early sixties (mara nyingi maisha mazuri) kwa wale wachache wenye bahati yao ya kuweza safiri bado....
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ASHA mtoa mada ametaka kujua wanaume sio wanawake
   
 4. Mbava

  Mbava Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nazungumzia wanaume, na sio wanawake please? Go on.
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  kuanzia miaka 40. kwa wale wanaofanya mchezo mbaya 35
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Akifa au kuhasiwa otherwise ngoma mbele
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  The Following 2 Users Say Thank You to saaly For This Useful Post:

  Asha D (Today), Mbava (Today) ​
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mimi ni 42 lakini kaka speed yangu inatisha,lakini life style nayoishi nafikiri inachangia sana tuu
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mbava utanisamehe Dear... naona nimejibu kutumia assumptions badala ya kuelewa kwanza... hop you understand. Sorry...
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  inatengemea mana huwa haitabilik mana kama nguvu anayo bac mzigo anapiga kama kawa
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  hakuna jibu sahihi la muhimu ni furahia chochote ulichonacho na pata lishe na mazoezi ya kutosha hasa madogo madogo ya ktuembea...............angalau kilometa mbili kwa siku.......................
   
 12. T

  TAITUZA Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Body exercise and meal balance ni vitu muhimu, kuna mdingi anaishi jirani na hapa nilipo ana kama nyundo 60 hv, lkn kuna bar maid mmoja alijirengesha katupa mchapo kwamba yule mzee acha, alimfunga kama goli 5 hv na gemu akataka kuendelea. Binti wa watu akasema baaasi. Huyu mzee kaka kila asubuhi ni jogging tu, nina mwaka wa nne hapa kitaa, sijawahi kumuona akiacha kufanya mazoezi, kaka tuzingatie mazoezi na msosi hasa wanga na mbogamboga,
   
 13. m

  mkumbee Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo liko wazi hasa mbogamboga
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  he he he namjua mzee miaka 92 lakini cheki damu inavyochemka..mmhhhh
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nasikia wanaume wenye vitambi hawawezi kazi sijuhi kama ni kweli. Najitahidi kumpa mzee balanced diet asije pata kitambia akashindwa kazi!
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  akiwa bado mtoto mdogo
   
 17. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Labda mtoa maada ana matatizo hayo! sema tukusaidie maana kama ni tatizo lipo hata kwa vijana wadogo.
   
 18. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Angalia huyo mzee hasije akakufia kifuani
   
 19. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hata ukifanya mazoezi Mkuu kama ukipewa mbaya ni mbaya tu hautofanya lolote
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  "unamjua" not unamfahamu so u sex with him its ok. ......ibrahim "akamjua" sara akampata.....
   
Loading...