Ujambazi na mauaji Arusha waanza tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujambazi na mauaji Arusha waanza tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanapolo, May 21, 2011.

 1. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Leo asubuhi kulikuwa na tukio la kutaka kupora hela zilizokuwa zinaingia ofisi ya kuuzia madini ya Classic, kwenye purukushani hizo majambazi walimpiga risasi mlizi Joseph na kumwua hapohapo ila walishindwa kupora hela kwani zilikuwa ziengizwa ofini tayari. Inaonyesha hao majambazi walikuwa na habari kuwa kuna hela inaingia kwenye hiyo ofisi ndio maana waliweka mitego pale ofsini kwa nje.
  Kilichonisikitisha zaidi ni kumuua mlinzi ambae hana kosa lolote na pia alikuwa mtu wa watu, vijana wote wanao uza Tanzanite kwenye hiyo ofisi ni rafiki nao. na matukio kama haya tulikuwa tumeyasahau hapa arusha kwetu, kuna mkono wa mtu hapa kwenye hili tukio na polisi wanamjua na yupo uraiani kwa sasa.
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,133
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi wakati tukio hilo linatokea nilikua niko kwenye ofisi za Vodaphone ambazo ziko karibu sana na ofisi hiyo ya mawe kwakweli ni tukio lakusikitisha sana la kumuua yule mlinzi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.:rip:
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya wafanyabiashara wakubwa kuomba ulinzi wa jeshi la polisi wanapokuwa wakisafirisha hela
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Dah...hii ni hatari....ki ujumla Arusha mjini ni sehemu ya hatari sana hata kwa wanojipitia zao barabarani.....mambo kama haya hutokea mara nyingi na hata nilishawahi kushuhudia moja.....hilo duka la mawe lipo sehemu gani?
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Polisi wenyewe waizi tu...
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kwani hapo Arusha mauaji na uporaji uliwahi kukoma?! Hakuna jipya.
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Tatizo kubwa la Arusha City ni kuwa kila kijana anataka kushika hela na kutanua bila kutoka jasho...
   
 8. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  na juzi waliiba pale mushono supermarket na chuma ililia vilevile
   
 9. Garmii

  Garmii Senior Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusafirisha pesa kuanzia 5 milion lazima uende polisi upewe ulinzi,sasa kwann hawakuhitaji ulinzi?
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  huyu mmeru ameanza tena.....
   
 11. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  angeachwa afie gerezani
   
 12. T

  TAITUZA Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wachimba mawe wadogowadogo wakiyakosa mererani kwa muda mrefu,hurudi mtaaani kwa spidi ya nyati,kukaba kupora,na hata kuua. NA SUALA HILI SI GENI KWA POLISI, Na wengine hudiriki kushirikiana na polisi ktk kufanikisha hili. mkoa huo unahitaji mabadiliko ya kiuongozi ktk jeshi la polisi na ktk kamati ya ulinzi na usalama. KWA UJUMLA ARUSHA AMANI ILISHATOWEKA SIKU NYINGI. KUNYWA GONGO,KUSAGA GOMBA NA KUVUTA BANGI HADHARANI NI MAMBO YA KAWAIDA NDANI YA JIJI HILO. SAWA JOMBAAAA? MZUKA TU KWAO!
   
 13. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna tukio la ujambazi linalofanyika Arusha bila mkono wake!
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyo RPC mnyakyusa anajua kuua wafuasi wa chadema tu lakini majambazi yanamshinda!! Mrudisheni Afande Kombe kazini muone kama jambazi atafurukuta hapo Arusha!
   
 15. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna kijana duniani asiependa pesa. Nina hakika vijana wa Ar ni wahangaikaji sana kuliko vijana wa mikoa mingine, kwani ni mkoa unao ongoza kuwa na vijana matajiri
   
 16. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna askari asie jambazi, believe me!
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa unalalama nini?
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  mmeru huyo ni nani?
   
 19. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Acha hizo wewe! Nitakuibukia sasa hivi! Yaani kila kitu mmeru! Hata bata kaibiwa mmeru! Tutakusaka mujomba!
  Mh! Usiogope sana sisi hatuna visasi ila jua huyo ni ndg yangu! Kwa hili mnamsingizia jamani.
  Ila na watu wetu huku wana perepere nyingi sana, pesa kidogo tu wanajitangaza sana waonekane wanazo.
  Hapa bwana watu wana masifa sana na tamaa nyingi.
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  angeachwa kwani alitoka kwa msamaha wa rais au? Mbona unanishtua kaka? Huyu jamaa noma ila hapa mnamsingizia
   
Loading...