Recent content by Tafakari yetu

  1. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

    Sio lazima na huu uitwe uzi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naona kampeni ya kumchafua Waziri Mkuu Majaliwa na hachafuki ng'o kwa kuwa sio fisadi

    Majaliwa kastaafu kwa heshima sana, hongera sana Mhe. Popote ulipo
  3. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru na Oliva waungana kwenye mkutano wa hadhara

    https://www.jamiiforums.com/threads/kila-nikichanga-karata-zangu-namuona-dkt-bashiru-akiwa-kiongozi-wa-awamu-ya-saba.1939882/
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu na wajuzi: Nafasi za maafisa ofisi ya Rais ikulu zinajazajwe?

    Habarini wanajukwaa, Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie. Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Tunafukunyua ya wahenga, Kuwadhibiti hao vijana kuanze rasmi sasa kwa maslahi mapana ya CCM na Taifa kwa ujumla
  6. T

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Kama Russia ingeamua kufanya kama ilichofanya Israel Kwa Palestina naamini na wewe unajua Leo kusingekuwa na nchi ya Ukraine
  7. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Sio lazima Leo kama Jana hawakutoa Kwa sababu wanazozijua wao na Leo ni kama Jana kwao
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama mnataka Waziri wa Kilimo ajiuzulu kwa uhaba wa sukari, basi na wa Nishati ajiuzulu kwa suala la umeme

    Serikali jukumu lake ni kuregulate mifumo mbalimbali katika nchi na sio kuzalisha hivyo suala lolote linaloenda sambamba na uzalishaki Serikali au Waziri Kwa ifahamu wangu mdogo hatakiwi kulaumiwa. Sometimes ,Serikali pia inabidi iwe mzalishaji badala ya regulator na lengo kubwa ni kusaidia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Unadhani Ajiraportal imeanza kusumbua Leo mpaka watoe taarifa Kwa Leo na sio Jana na juzi?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete akishinda ataungana na Spika Dkt. Tulia na Mbowe kuongoza Taasisi kubwa duniani

    JK ndio mtu pekee kwenye nchi hii ambaye hajawahi na hajui kushindwa na jambo ambalo analipigania
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Ukikua utaacha utoto
Back
Top Bottom