Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
Vyombo vya habari vya Marekani vimemponda Rais Ufaransa Macron kwa kushauri NATO waingie Ukraine wakapambane na Russia na baadae Russia kutoa onyo kua wakiingia Ukraine NATO yote ni halali yake....ndio Memba wengine wa NATO walipooanza kujiweka pembeni na kumwacha peke yake..

Ufaransa ina hasira baada ya Russia kuinyang'anya Makoloni Afrika kiwafurusha kama mbwa.

TASS gathered the reaction of the American media to Macron's idea to send NATO troops to Ukraine:
CNN
This could lead to the largest ground conflict Europe has seen since World War II.;
Wall Street Journal
Macron's remarks were a departure from the restraint shown by Western allies. He tried to fill the leadership vacuum, but his attempt to show Russia strength played against him.;
Bloomberg
Macron's comments contributed to the emergence of strategic ambiguity. Such a move, however, would directly involve NATO in the fight against Russia;
New York Times
The negative attitude of European leaders towards the idea of Macron led to confusion about the unity of the alliance and provoked the question of whether his words should be considered as an empty threat.;
USA Today
Macron's rapidly bursting "trial balloon" demonstrated fears that Russia's successes in Ukraine would push Moscow to threaten frontline Eastern European states when billions of dollars of badly needed American aid to Kiev remain blocked in the US Congress.

t.me/vicktop55/21978
IMG_20240228_105321.jpg
 
Wakiingia Ukraine Rusia hana uwezo wa kurusha risasi katika nchi za NATO ni Mkwara tu, kwani unafikiri hakuna wanajeshi wa NATO Ukraine? USA+ France+ England, wakiamua waingie mazima kupambana na Rusia, ni mwezi mmoja Rusia inafutwa, hata watumie Nyuklia Rusia hawezi kushinda vita, mwanzoni alisema atakayetoa silaha kwa Ukraine atapigwa, lakini nchi za Ulaya zimetoa lakini hakuna aliyepigwa.
 
Hiii ngoma ngumu hii ngoma nzito dubu ni shida na nusu
Leo kila member wa nato analuka kiunzi baada ya dubu kutoa tamko
Russia sio dubu sawa,ila tatizo watu wanamchukulia kama paka.hawa wakubwa kila mtu anaujua uwezo wa mwenzake.

Wana uhakika wanaweza kumshinda russia ila wanatathmini gharama watakayolipa kwa ushindi watakaoupata.

Unaweza ukapigana na mtu ukamshinda ila na yeye akakuchafua haswa na udhaifu wako ambao watu walikuwa hawaujui ukaonekana.
 
Ilikuwa na nikosa kwa russia kuivamia ukraine.ila ilikuwa ni kosa zaidi kwa ukraine kuikaribisha US and its allies kuweka kambi zao na viwanda vyao huku wakijua mahusiano ya russia na usa.

Usiseme sijui sovereignty.every power has limit and you have to know that.kuna maamuzi unaweza kuyafanya kwa misingi ya uhuru wako ila ikaleta shida kwa majirani.

Najiuliza deep state ya ukraine ilikuwa wapi mpaka zele boy anaangamiza taifa.
 
Ww unashangaza kidogo. Hapa tunaongelea hasara ya Vita maana Sasa zitapigwa Siraha za maangamizi mf. Biological, Chemical, Surin poison, Nuklia weapons, hizo wataalamu wanahita WEAPON'S OF MASS DESTRUCTION. SASA PALE NEW YORK SQUARE METER KUMI KUNA ZAIDI YA WATU 100,000. MAANA UJENZI WAO NI MAOROFA. MIJI KAMA HIYO IPO UJERUMANI, UINGEREZA, UFARANSA, NK.
TAIFA KAMA URUSI INA RASILIMALI NYINGI VITA IKIISHA MIJI INAKENGWA HARAKA, TOFAUTI NA UFARANSA MPAKA WAJE KUIBA KWA KUTUMIA MAKUNDI YA WAASI N.K
HIYO NDIO HASARA kwa ufupi.
 
Wakiingia Ukraine Rusia hana uwezo wa kurusha risasi katika nchi za NATO ni Mkwara tu, kwani unafikiri hakuna wanajeshi wa NATO Ukraine? USA+ France+ England, wakiamua waingie mazima kupambana na Rusia, ni mwezi mmoja Rusia inafutwa, hata watumie Nyuklia Rusia hawezi kushinda vita, mwanzoni alisema atakayetoa silaha kwa Ukraine atapigwa, lakini nchi za Ulaya zimetoa lakini hakuna aliyepigwa.
we ulifikili watapigwa kivipi mnanyimwa gase mashama (makoloni) yanapepelika vita ubunifu
 
Ww unashangaza kidogo. Hapa tunaongelea hasara ya Vita maana Sasa zitapigwa Siraha za maangamizi mf. Biological, Chemical, Surin poison, Nuklia weapons, hizo wataalamu wanahita WEAPON'S OF MASS DESTRUCTION. SASA PALE NEW YORK SQUARE METER KUMI KUNA ZAIDI YA WATU 100,000. MAANA UJENZI WAO NI MAOROFA. MIJI KAMA HIYO IPO UJERUMANI, UINGEREZA, UFARANSA, NK.
TAIFA KAMA URUSI INA RASILIMALI NYINGI VITA IKIISHA MIJI INAKENGWA HARAKA, TOFAUTI NA UFARANSA MPAKA WAJE KUIBA KWA KUTUMIA MAKUNDI YA WAASI N.K
HIYO NDIO HASARA kwa ufupi.
ahahah kwa hiyo unaona umechambua medani ya vita

Nikuambie kitu France na Russia wote ni wezi kwa Africa

Russia anafanyako nini Mali, Niger na Chad kama sio kuiba
 
Hii Russia inayopigana na Ukraine mwaka wa tatu sasa ndio ipigane na Nato na hata Dmitry Medvedev mwenyewe anatishia kwamba Nato wakiingia Ukraine Russia itatumia nyuklia kwa sababu anajua hawana silaha nyingine mbadala ya kutumia dhidi ya Nato.

Russia is a pale shadow of the formidable USSR and their invasion of Ukraine has helped expose their real weaknesses as a military power most people thought them to be.
 
Vyombo vya habari vya Marekani vimemponda Rais Ufaransa Macron kwa kushauri NATO waingie Ukraine wakapambane na Russia na baadae Russia kutoa onyo kua wakiingia Ukraine NATO yote ni halali yake....ndio Memba wengine wa NATO walipooanza kujiweka pembeni na kumwacha peke yake..

Ufaransa ina hasira baada ya Russia kuinyang'anya Makoloni Afrika kiwafurusha kama mbwa.

TASS gathered the reaction of the American media to Macron's idea to send NATO troops to Ukraine:
CNN
This could lead to the largest ground conflict Europe has seen since World War II.;
Wall Street Journal
Macron's remarks were a departure from the restraint shown by Western allies. He tried to fill the leadership vacuum, but his attempt to show Russia strength played against him.;
Bloomberg
Macron's comments contributed to the emergence of strategic ambiguity. Such a move, however, would directly involve NATO in the fight against Russia;
New York Times
The negative attitude of European leaders towards the idea of Macron led to confusion about the unity of the alliance and provoked the question of whether his words should be considered as an empty threat.;
USA Today
Macron's rapidly bursting "trial balloon" demonstrated fears that Russia's successes in Ukraine would push Moscow to threaten frontline Eastern European states when billions of dollars of badly needed American aid to Kiev remain blocked in the US Congress.

t.me/vicktop55/21978View attachment 2918935
more and more souls getting lost, niliona clip moja hivi, mwanajeshi wa ukraine amepigwa miguu imevunjika akaona hawezi kusavaivu akajipiga risasi akafa. hadi sasa malaki ya watu wamekufa, na shetani ndio anapenda hiyo, watu wafe bila kumpokea Yesu, wakati ni mchache anavuna na kuvuna. jueni ya kwamba, uwe vitani au uwe wapi ukifa bila kumpa Yesu maisha yako, unaenda moja kwa moja motoni. Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi.

Kwenu ninyi ambao hamjaokoka, hivyo hivyo ulivyo Mungu atakupokea na atabeba mizigo yako yote, sali sala hii pamoja na mimi:

Eee Mungu wangu, mbele zako mimi ni mwenye dhambi, ninaamini ulimtoa Yesu Kristo alikufa kama kafara kwa ajili ya ukombozi wangu, naomba unisamehe, uniokoe kuanzia leo, mimi niwe mali yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo Yesu Kristo, Katika Jina la Yesu! Amen.

Hivihivi kimchaezo mchezo umeshaokoka, acha dhambi, kimbia dhambi na jiunge na wale waliookoka ili mmwabudu Mungu pamoja. Ubarikiwe.
 
Hii Russia inayopigana na Ukraine mwaka wa tatu sasa ndio ipigane na Nato na hata Dmitry Medvedev mwenyewe anatishia kwamba Nato wakiingia Ukraine Russia itatumia nyuklia kwa sababu anajua hawana silaha nyingine mbadala ya kutumia dhidi ya Nato.

Russia is a pale shadow of the formidable USSR and their invasion of Ukraine has helped expose their real weaknesses as a military power most people thought them to be.
Kama Russia ingeamua kufanya kama ilichofanya Israel Kwa Palestina naamini na wewe unajua Leo kusingekuwa na nchi ya Ukraine
 
Wakiingia Ukraine Rusia hana uwezo wa kurusha risasi katika nchi za NATO ni Mkwara tu, kwani unafikiri hakuna wanajeshi wa NATO Ukraine? USA+ France+ England, wakiamua waingie mazima kupambana na Rusia, ni mwezi mmoja Rusia inafutwa, hata watumie Nyuklia Rusia hawezi kushinda vita, mwanzoni alisema atakayetoa silaha kwa Ukraine atapigwa, lakini nchi za Ulaya zimetoa lakini hakuna aliyepigwa.
Hotler na ujerumani Superpower alotumia Miaka 8 na hakutoboa.

Sijui nani atashinda sababu war ina dynamicity nyingi na elements of suprise lakini vita itakapoisha UKAYA yote ikiwemo na Russia kutakuwa na hali gani?, vipi kuhusu Collateral damage?

Hakuna kiongozi wa EU yupo tayari kwa hili. Hata Russia kuvamia Ukraine alivuka red line ya NATO, Je wsmemfanya nini cha maana?.

Inshort NATO vs RUSSIA kila mmoja anamuhofia mwenzake , kila mmoja anahofia Nuclear war incase existance ya taifa lao litakuwa mashakani. Na ikifikia mmoja hana cha kupoteza kwenye moment za uchizi ulaya na sehemu ya dunia itakuwa Magofu tupu, fikiria WW1 na WW2 madhara yake.

Nobody wants that mkuu
 
Hii Russia inayopigana na Ukraine mwaka wa tatu sasa ndio ipigane na Nato na hata Dmitry Medvedev mwenyewe anatishia kwamba Nato wakiingia Ukraine Russia itatumia nyuklia kwa sababu anajua hawana silaha nyingine mbadala ya kutumia dhidi ya Nato.

Russia is a pale shadow of the formidable USSR and their invasion of Ukraine has helped expose their real weaknesses as a military power most people thought them to be.
Jomba kwa hiyo unadhani Nyuklia imehifadhiwa kwa ajili ya kupiga nazo picha sio...hizo ni silaha za kimkakati, za kujihami na kumtisha adui..

Jiulize kwa nini USA aliamua kutumia nyuklia dhidi ya Japan.
 
Back
Top Bottom