MPSZX PAULO
Member
- Mar 12, 2020
- 38
- 32
Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal?
Itakuwa ipo kwenye matengenezoHbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal? View attachment 2914356
Ingetolewa taarifa na wahusika kwamba kutakuwa na changamoto hii na hii basi kusingekuwa na malalamiko kwahiyo wanaolalamika ni haki yaoWabongo sijui tuna matatizo ya akili au vp, kitu kidogo tuu tayari malalamiko
Unadhani Ajiraportal imeanza kusumbua Leo mpaka watoe taarifa Kwa Leo na sio Jana na juzi?Ingetolewa taarifa na wahusika kwamba kutakuwa na changamoto hii na hii basi kusingekuwa na malalamiko kwahiyo wanaolalamika ni haki yao
Kwani kama ilikuwa ikisumbua zamani ina justify vipi wasitoe taarifa leoUnadhani Ajiraportal imeanza kusumbua Leo mpaka watoe taarifa Kwa Leo na sio Jana na juzi?
Ulibet na wewe?..basi na wngine ndo tunasubir mkeka basi roho juu juu
Kwan hy changamoto n temporary au permanent.? Tatizo lenu ikifika deadline ndo mnajifanya mna harakaIngetolewa taarifa na wahusika kwamba kutakuwa na changamoto hii na hii basi kusingekuwa na malalamiko kwahiyo wanaolalamika ni haki yao
NdioUlibet na wewe?
Pole usilie mkeka haujachanikaNdio
Na ikawa 0%Ninasikitika kusikia kwamba huenda ikafuta taarifa zako zote ikiwemo kuondoa maombi uliyotuma
Amiiiiiiiiin...wasinichanie mkeka wangu sna other option,yan akili yangu imefika mwsho kias kwamb sitak ata kuapply kazi nyingine...ubaya wake awa Psrs Co wa kuwawekea tumaniii kbsaPole usilie mkeka haujachanika
Basi utulivu uwe muhimuAmiiiiiiiiin...wasinichanie mkeka wangu sna other option,yan akili yangu imefika mwsho kias kwamb sitak ata kuapply kazi nyingine...ubaya wake awa Psrs Co wa kuwawekea tumaniii kbsa
Sio lazima Leo kama Jana hawakutoa Kwa sababu wanazozijua wao na Leo ni kama Jana kwaoKwani kama ilikuwa ikisumbua zamani ina justify vipi wasitoe taarifa leo
Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal? View attachment 2914356