Hili ni tatizo kubwa kwa madomo nzege wewe cha kufanya ni kwanza kumsoma tabia yake na vtu anavyopendelea zaid then easy you kill her like chawing babulish
For both BRD takers 1,2 and 3 year i need 2 share with you on issue of futuring of our coz so if you know anything we can share bz im 1year use kiswahili our nation language
hii ni tz bwana m2 jana kachakachua pale leo mnampeleka kule achakachue vizuri 4m impossible maybe those blinds ni bola kumpa m2 mke wangu kuliko kumpa nchi Ruasa fisadi mkubwa
siku zote siasa ni mchezo mchafu utawezaje kuwambia watu wachangie kuhusu mabadiliko ya katiba wakati sa hata ile ya mwanzo hawaijui wala kuiona kwa watz wengi so how comes?
Karibuni all 1Year Bichimatunda or ostabei ya sua aka Tabora fulu entertainment,tours za kumwaga,watu wa mbele kibao and many others enjoyable thing njoo jionee mwenyewe wanakoishi maseneta na vigogo wa SUA
NDOA INAYODUMU NI ILIYOTOKANA NA MAKUBALIANO BAINA YA WAPENDANAO NA SIO KULAZIMISHWA NA WAZAZI WAO .Hivyo muungano ulifanyika chini ya makubaliano baina ya viongozi wa pande 2 sio wananchi wa Tz na Znz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.