I need help wana sua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I need help wana sua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Taeki-1africa, Oct 7, 2012.

 1. Taeki-1africa

  Taeki-1africa Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimechaguliwa Rural development sijui future yake yaani unakuwa nani na unafanya kazi gani na ktk sector gani nisaidieni
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Google ina jibu la kila kitu kasoro kuleta mvua tu.
  Unachowaza kiandike mule kwa kidhungu watakujibu.
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Sumbawanga uki-Google, mvua yaja ati.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ndio wapi huko?
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Kwani hilo jina ni uzao toka wapi Katavi?
  Afu hadi wewe nina wasiwasi nawe,unauza radi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Huyu akili zinamtosha kwenda SUA kweli au?
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  We unamuonaje kwani?
  Au kuuliza ndio kosa kubwa alilolifanya?
  Unataka amuulize nani kama sio nyie wanajamii wenzake?
  Unataka apate msaada wapi kama sio hapa kwenye jumuiya ya JF?

  Mjibu maswali yake,kama nawe yamekushinda,kaa pembeni,wache wenye ujuzi na hayo mambo Wamjibu.
  Sipendi.
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Narudi tena,Dogo kama umepata muda wa kusikiliza vizuri hiyo mimbo niliyokupa hapo juu nadhani unaweza kuwa umepata japo jibu kidogo lakini kikubwa nachoweza kukuambia ni kuwa ridhika na Kozi uliyoipata nenda kasome mengine yatafuata,na nisisikie tena eti umemaliza kozi yako kisha unataka kuishi Dar sitakuelewa,halafu Madame B msiri wangu ujue nakutamani kweli,hata sijui siku tukionana nani atakayempa adhabu mwenzieee..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Unanitamani ki namna gani?
  Ki-Yesu au ki-Shetani?
  Mimi nataka nianze kukupa wewe adhabu ya kulala chali.
  Halafu magoti unayakunja.
  Lol
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mmmh!
  Kama mke wangu hashiki !
  Google inaweza kumshikisha? Urongo umeuanza lini ?
  Mbona huko nanihii kuhua hivyo?
   
 13. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Future ya kozi inapatikana kwenye jina la kozi yenyewe. . .RURAL DEVELOPMENT. . .Hapo huoni utakuwa na kazi gani? RURAL DEVELOPER. . .Kakomae uje uendeleze vijiji vyetu vinahitaji maendeleo jombaa. .
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Unahitaji ya bei gani??
   
Loading...