Chuo Kikuu cha Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo Kikuu cha Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mdau Makini, Oct 20, 2012.

 1. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Chuo kikuu Sokoine Morogoro, Hostel ni tatizo kubwa sana.Wanafunzi waliopo ni kama mara tatu ya Hostel zilizopo, Wanachuo wanalala wawili wawili a. K.a kubebana lakini wapi....wengine wamepanga mtaani lakini waaap!

  Ni bora kila chuo kuchukua wanafunzi sawa na uwezo wao wa Accomodation.
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  laleni watatu watatu
   
 3. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Ukoo main campus au Solomon Mahlangu campus? Kama solomon mbona watu binafsi wamejenga hostel nyingi na nyingine zilikuwa hazina wateja. Vipi zile hostel za kihonda huwa hazina watu na gharama za pango ni ndogo sana.
   
 4. y

  yaasary Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  sasa hivi watu ni wengi sana na vyumba vimejaa hata mtaani
   
 5. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Acha chuo kama utaona inafaa.
   
 6. m

  myasis Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Ww umeenda chuoni kulala au kusoma
   
 7. Matata Mushkeli

  Matata Mushkeli Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndo tz kwetu look for alternative cz kusoma n muhm
   
 8. SODOKA

  SODOKA JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 1,545
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni kama UDSM,,sie tushazoea kubebana tu,,nyie wa uko amjuagi tu
   
 9. SODOKA

  SODOKA JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 1,545
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nenda U-DOM chuo kikubwa,,,chuo kikuu ni UDSM
   
 10. rayman m

  rayman m Senior Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  :embarrassed:yeah kwa kweli hili ni tatizo kubwa kiasi kwamba wanachuo wananunua magodoro na kutandika chini! hili liangaliwe kwa jicho pevu

  :director: :director::director::director::director::director::director:
   

  Attached Files:

  • ray.jpg
   ray.jpg
   File size:
   9.6 KB
   Views:
   47
 11. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  jukumu la chuo ni kukupa elimu sio malazi....kama vp ingia mtaani....au hama chuo uende kule kwenye hostel kibao kama vile chuo majengo
   
 12. B

  Best Mzava Senior Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wakike njoo nikubebe hapa new hostel
   
 13. Dancani

  Dancani JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Utapokeaje elimu wakati mazingira sio rafiki kukuwezesha kupokea hiyo elimu?
   
 14. rayman m

  rayman m Senior Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hahaaa sasa hapa mweshmiwa hujazngatia jenda. Tusaidie bana
   
 15. Taeki-1africa

  Taeki-1africa Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  oya mkuu njoo TABORA aka bichimatunda ya SUA Utaijoy life full of tours jpange
   
 16. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ameenda kusoma ili alale...
   
 17. S

  SirJoaz Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kulala nayo ni part ya maisha we unayesema ameenda kusoma au kulala we uko chuo gani ambao hamulali
   
 18. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu acha nadharia za advance secondary school zakukesha usiku kucha.Lazima kuwapo na malazi mazuri ili upate utulivu wa akili.Haina mantiki ulale kwa kubanana wakati pesa ya malazi umelipia huu ni uzembe wa hali ya juu.Ukilala ovyo ovyo hata darasani utakuwa na usingizi wa kufidia ule usiku uliokosa usingizi.
   
 19. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hivi vyuo vya Tanzania tuna shida gani?Ukienda pale UDOM College of Humanities and Social Sciences hostels ni nyingi na madarasa machache.Na sasa nasikia jamaa wa Sokoine anasema kuna tatizo la hosteli?Vipi na madarasa yanatosha mkuu huko SUA?Na bado tunafundishwa planning kwenye vyuo vyetu.Kweli tunalekea wapi sasa?
   
 20. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kwa hyo ww unataka chuo kifanyeje wakat hostel hazitosh kama vp hairisha mwaka....
   
Loading...