Zanzibar hakukaliki; siri nzito yafichuka fedha zatoka Oman na Uingereza

mnaouliza hivi mnabidi mrudi shule na kujiuliza human behavior ipoje, banadamu yoyote yule angependa urahisi ndio maana wengine wanaweza kusahau maendeleo halisi na kufuata a short term solution hasa hasa watu chotara, hvyo tuna takiwa kuzuia mambo hayo
 
Acheni visingizio vya kitoto,suala liko wazi hawa jamaa hawataki tena muungano,hakuna aliyewashawishi kuidai nchi yao irudi kwenye ramani,kinachotakiwa ni kwamba na sisi tuongeze jitihada za kuidai tanganyika yenu.

Nampongeza sana Rev.Mtikila kwa hili la kuililia Tanganyika ambayo ilikua na kiti UN kabla ya muungano.Tunataka kiti chetu kirudi tukikalie
 
Hatari, Tunawapenda Wazanzibari lakini kama wanaoishi UK pia wanatuma pesa kupinga Muungano kwa Usalama ni haki

Yao kwa Ukweli, lakini hizo Vurugu bado kuna uwalakini kama kweli walifanya walioandamana sababu serikali yetu pia ni

Janja. Kwahiyo Wakristo waangalie suala hilo kiuwalakini na kwa ustaarabu;

Hata sio kweli, fedhwa ya kupiga box inauma asikwambie mtu
 
Acheni visingizio vya kitoto,suala liko wazi hawa jamaa hawataki tena muungano,hakuna aliyewashawishi kuidai nchi yao irudi kwenye ramani,kinachotakiwa ni kwamba na sisi tuongeze jitihada za kuidai tanganyika yenu.

Nampongeza sana Rev.Mtikila kwa hili la kuililia Tanganyika ambayo ilikua na kiti UN kabla ya muungano.Tunataka kiti chetu kirudi tukikalie

Kwani hata sisi watanganyika unadhani tunautaka huo Muungano? By the way kwani Tanganyika ni kama mume ktk muungano huu so ndo mwenye idhni ya kutoa talaka? Na hata ikiwa ndivyo bac huyo mke si arudi kwao tu tuone kama 'mume' atamfuata kumbembeleza ili warudiane! WATANGANYIKA NASI HATUUTAKI MUUNGANO, ila siyo priority kufanya vurugu kwa hoja hiyo.
 
Hao vijana wa Zenji asilimia 80 ni mateja. Walivamia bar wanazodai ni za wabara na kupora pombe zote wakanywa, mbaya zaidi Valeur ndio ziliibiwa sana. Wakavamia kanisa katoliki la Mpendae wakapora divai yote wakanywa. Huenda hata mabucha ya kitimoto na vibanda vya kukaangia viliporwa. Vijana wa Zenji mmeyagalagaza maadili ya mzanzibari, ni aibu sana kwa kweli

Unapojadiliana na watu wazima jaribu kuwa na busara japo kidogo na si kuonyesha ujinga wako. Hayo unayoyasema hayajaripotiwa na chombo chochote cha habari na ni porojo tu. Sisi watu Bara tunashangaza sana hasa wanachama wa CHADEMA humu JF. Wanapinga CCM na serikali lkn wanaenzi upuuzi wa CCM na serikali yake. Hivi ktk hali ya kawaida tunaweza kuuita huu wetu kuwa ni muungano? Muungano ambao raia wake hakuulizwa chochote bali wanasiasa ndio waliopanga kila kitu. Hata ndoa watu hukaa na kukubaliana ndipo inafungwa. Sasa Wazanzibari wanawasaidia kuliharibu hili dudu lililotupora serikali ya Tanganyika nyie mnabadili mada na kuwaponda. Kweli Watanganyika tumedanganyika.
 
Tena mshukuruni Mungu! Kama Marehemu Abeid Karume angeishi hadi miaka ya 80 tu, muungano ungekuwa umevunjika. Acheni kulazimisha mambo, kama Wazanzibari wanaona muungano hawautaki waacheni. Sielewi mantiki ya kuwazuia watu wenye nchi yao kuamua, waacheni. Kwa lugha rahisi sana kitendo cha Tanganyika kulazimisha muungano huu ni sawa na ubeberu!
 
Yeah, Unajua Dini zote za kikristo na kiislamu zilianzia Zanzibar na Pwani wakati ule ikiwa chini ya Sultani na kuingia Bara kwa idhini ya Sultani?

Unajua kuwa George Kahama pamaja na hiyo ana wake wanne, na hiyo haitakiwi kwa Dini ya Kiroma? kwahiyo kiuhalali wangemtelekeza? Angepokelewa karibu na Waislamu kwa kuoa wake wanne zaidi ya waroma.

Yeah, Ulisema hivyo lakini wakati huo huo Machifu wote waliofuata hiyo dini ya Kilutheri waliondolewa wadhifa wao Mfano
Chief Mareale wa Marangu, alikuwa Mlutheri powerful kweli na Kahawa, Nyerere alimvua cheo chake na kukichukua Chama
Cha Ushirika cha KNCU kwa sababu wachaga wachache walikuwa Matajiri na kutosikiliza serikali.

Nyerere alifanya Mengi Machungu kwa Wakristo pia Wakristo sio kundi Moja kuna madhehebu Mbalimbali; Hapa Tanganyika Waislamu wetu wengu ni Sunni; lakini kwa Wakristo tuna Roma, Walutheri nakadhalika na wote waliathirika
Kwa kutaifishiwa ghuzo zao za kiuchumi kama walutheri hospitali ya KCMC au wa ROMA bugando hospitali au Mashule kibao; walimchukia kwa hayo pia lakini katika Dini za kikristo biblia inaongelea kusaidia Masikini. Sasa Nyerere aliyasema hayo, kwahiyo hata kama hawakupenda jinsi alivyochukua mali zao alisema ni kusaidia kila masikini nchini awe mkristo au muislamu. Hapo kweli hakubagua Mkristo na Muislamu walienda hizo shule na hospitali na kupata matibabu bila shida yoyote.

Sasa kama ni Chuki ya Nyerere, kweli sawa lakini wapo au tupo tuliofanikiwa na aliyoyatenda kuna watu tusingeona elimu ya Juu, au Kidato cha kwanza au kusomeshwa nje ya nchi na serikali angalia Kenya hawana hayo.

Chuki hii ni Ignorance, wengi wao ukiwauliza kuna faida tatakuambia ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea ya Nyerere
Lakini kama ni Muda Umefika wa Zanzibar kujitenga ni lazima Udini Uwekwe ili ijiondoe? Kuna Wazanzibari UK; wanaishi kwa Amani huko UK unadhani hata siku moja watachoma Kanisa huko? Hata siku Moja watamtukana Mkristo huko UK?

una hakika kuwa hao waliochoma makanisa ni waisilamu???

hakuna kanisa lilichomwa kule Pemba ambako serikali iliua watu

Uamsho imefanya mikutano zaidi ya mia hakuna hata jani lilichomwa

Mkutano wao wa mwisho kabla ya kuchomwa makanisa ulimalizika kwa amani na watu walikuwa wamerejea majumbani kitambo

HIKI NI KITENDAWILI KAMA KILE CHA KUULIWA IMAMU WA MSIKITI WAKATI ANATOKA MSIKITINI NA ASKARI SIKU MOJA KABLA YA MAANDAMANO MWAKA 2001

TUMIA AKILI WAWEZAKUMJUA ALIYECHOMA MAKANISA
 
Nimekubaliana nae, Nimemuambia Sina uhakika kuwa waliochoma Makanisa ni Waislamu; na kutaka kuwa Serikali isisema kuwa inachunguza bila kushika waliochoma hayo Makanisa; Nimeona picha za Maandamano; kulikuwa na Wanawake na Watoto sasa kama kulikuwa na Mpango wa ghasia kwanini waandamane na wanawake na watoto? bado naamini Maandamano yalikuwa ya Amani hata kama hiyo Jumuia haikuruhusiwa kuongelea Mambo ya kisiasa.

Kuhusu Pemba, Nadhani Pemba na Zanzibar ni issue mbili tofauti Pemba ina Maslahi yake na Zanzibar ina Maslahi yake Tofauti, nadhani Zanzibar na Pemba nia zao ni moja lakini wanatafuta uhuru wao kwa njia tofauti na naamini ni uhuru wao

Yeah, Mkutano wao huo wa karibuni Umeongelea zaidi mambo ya kisiasa na nadhani ilijiandikisha kama Jumuia ya Kidini na Unajua Dini na Siasa ni vitu viwili tofauti; Ukivikutanisha Pamoja ndio hayo yanayotokea kila Mahali Duniani lazima vitenganishwe kama kweli wewe ni Mpenda Amani.

Yeah, nakubali Mkutano uliisha kwa amani nama nilivyosema lakini Uliongelea Siasa na haikupaswa ni Jumuia ya Kidini.

HAPO SIJUI KUHUSU MAUAJI; MIMI NASEMA HAYA YOTE NI IGNORANCE - Hata siku Moja Duniani hauwezi kuiunganisha DINI na SIASA; kwenye katiba Mpya there must be a FREEDOM OF SPEECH & FREEDOM OF RELIGION but not religion taking over the POLITICS OF THE COUNTRY tutakatana Mapanga kama SOMALIA au SASA HIVI SYRIA
 
ni bora wangemwaga mapesa kuendesha semina za umuhimu wa kuvunja muungano ili wazanzibari walijue hilo vizuri na walitolee maoni katika mabadiliko yajayo ya katiba, enyi waislamu msio na busara mtaacha lini kuitukanisha dini yenu, yaani muislam aogopwe kama mnyama hatari sasa, acheni upuuzi huo
 
Nimekubaliana nae, Nimemuambia Sina uhakika kuwa waliochoma Makanisa ni Waislamu; na kutaka kuwa Serikali isisema kuwa inachunguza bila kushika waliochoma hayo Makanisa; Nimeona picha za Maandamano; kulikuwa na Wanawake na Watoto sasa kama kulikuwa na Mpango wa ghasia kwanini waandamane na wanawake na watoto? bado naamini Maandamano yalikuwa ya Amani hata kama hiyo Jumuia haikuruhusiwa kuongelea Mambo ya kisiasa.

Kuhusu Pemba, Nadhani Pemba na Zanzibar ni issue mbili tofauti Pemba ina Maslahi yake na Zanzibar ina Maslahi yake Tofauti, nadhani Zanzibar na Pemba nia zao ni moja lakini wanatafuta uhuru wao kwa njia tofauti na naamini ni uhuru wao

Yeah, Mkutano wao huo wa karibuni Umeongelea zaidi mambo ya kisiasa na nadhani ilijiandikisha kama Jumuia ya Kidini na Unajua Dini na Siasa ni vitu viwili tofauti; Ukivikutanisha Pamoja ndio hayo yanayotokea kila Mahali Duniani lazima vitenganishwe kama kweli wewe ni Mpenda Amani.

Yeah, nakubali Mkutano uliisha kwa amani nama nilivyosema lakini Uliongelea Siasa na haikupaswa ni Jumuia ya Kidini.

HAPO SIJUI KUHUSU MAUAJI; MIMI NASEMA HAYA YOTE NI IGNORANCE - Hata siku Moja Duniani hauwezi kuiunganisha DINI na SIASA; kwenye katiba Mpya there must be a FREEDOM OF SPEECH & FREEDOM OF RELIGION but not religion taking over the POLITICS OF THE COUNTRY tutakatana Mapanga kama SOMALIA au SASA HIVI SYRIA

Walio choma makanisa ni waislam tu, hatudanganyiki kwa namna yoyote.
Ukiangalia youtubes za mihadhala yao utaona kwa kiasi gani viongozi wao
walivyopanda mbegu ya chuki dhidi ya ukristo, wananchi wana hali ngumu
kimaisha, anakuja kiongozi wa dini na kuwaambia kwamba ugumu huo
umesababishwa na TRA na kwamba TRA imejaa watumishi toka bara (wakristo) na
wakati huo ushawaambia kwamba hamuwezi washirikisha wakristo wa
zanzibar kwa sababu sio wazanzibar, wakristo wametoka bara na kuja
kuharibu utamaduni wa Zanzibar na kwamba Nyerere alifanya aliyofanya kwa
manufaa ya ukristo na kukandamiza uislam. je hapo unadhani matokeo yake
yatakuwaje kwa wakristo?
 
They are Innocent Until Proven Guilty... We don't need to rush to Justice and Point Fingers

We believe in our Justice; Is Free and Fair to all our justice does not favor color nor religion.
 
NDOA INAYODUMU NI ILIYOTOKANA NA MAKUBALIANO BAINA YA WAPENDANAO NA SIO KULAZIMISHWA NA WAZAZI WAO .Hivyo muungano ulifanyika chini ya makubaliano baina ya viongozi wa pande 2 sio wananchi wa Tz na Znz
 
“Utashangaa kuona, baada ya kutokea machafuko haya, wengi walioonekana walikuwa vijana tu, huoni watu wazima, akina baba au akina mama… ni wazi utaona fedha zina nguvu kubwa kwa vijana wetu, ukiangalia wale waliondamana juzi ni vijana wenye umri kati ya miaka 18 hadi 24.

Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu:

attachment.php
 
Nimekubaliana nae, Nimemuambia Sina uhakika kuwa waliochoma Makanisa ni Waislamu; na kutaka kuwa Serikali isisema kuwa inachunguza bila kushika waliochoma hayo Makanisa; Nimeona picha za Maandamano; kulikuwa na Wanawake na Watoto sasa kama kulikuwa na Mpango wa ghasia kwanini waandamane na wanawake na watoto? bado naamini Maandamano yalikuwa ya Amani hata kama hiyo Jumuia haikuruhusiwa kuongelea Mambo ya kisiasa.

Kuhusu Pemba, Nadhani Pemba na Zanzibar ni issue mbili tofauti Pemba ina Maslahi yake na Zanzibar ina Maslahi yake Tofauti, nadhani Zanzibar na Pemba nia zao ni moja lakini wanatafuta uhuru wao kwa njia tofauti na naamini ni uhuru wao

Yeah, Mkutano wao huo wa karibuni Umeongelea zaidi mambo ya kisiasa na nadhani ilijiandikisha kama Jumuia ya Kidini na Unajua Dini na Siasa ni vitu viwili tofauti; Ukivikutanisha Pamoja ndio hayo yanayotokea kila Mahali Duniani lazima vitenganishwe kama kweli wewe ni Mpenda Amani.

Yeah, nakubali Mkutano uliisha kwa amani nama nilivyosema lakini Uliongelea Siasa na haikupaswa ni Jumuia ya Kidini.

HAPO SIJUI KUHUSU MAUAJI; MIMI NASEMA HAYA YOTE NI IGNORANCE - Hata siku Moja Duniani hauwezi kuiunganisha DINI na SIASA; kwenye katiba Mpya there must be a FREEDOM OF SPEECH & FREEDOM OF RELIGION but not religion taking over the POLITICS OF THE COUNTRY tutakatana Mapanga kama SOMALIA au SASA HIVI SYRIA

nani alikuambia dini na siasa ni vitu tofauti??? unataka kuniambia hawa viongozi wa uamsho hawaendi Pemba???

Au Uamsho ni kwa Unguja tu Peke yake??? Au ndivyo ilivyosajiliwa hivyo??

Mwisho ningalikuomba uwasikilize wenyewe wana uamsho wanavyosema na sio usome nini mwanakijiji anakuandikia

au Chadema inasema nini??
 
Unawaza Vya Chadema? Hakusoma kuwa kuna Vipeperushi Zanzibar kusema kuwaeleza Wapemba Waondoke Zanzibar; Sijui unatoa Maoni yako wapi? Hapo ndipo nasema ogopa watu Ignorant ambao hawajui Issues hawajui tofauti kati ya Siasa na Dini; ndio hapo tutapata shida...

Umeitoa Wapi Chadema?
 
Kuna jogoo langu hilo kubwa kwelkweli sintolichinja mpaka siku muungano huu utapovunjika(Inshaallah). Ndowa gani hii ya malalamiko kila uchao,ndo mana rizki inahama ndani ya nyumba.
 
Sasa niulize swali je kama ni swala ni muungano vipi kuhusu makanisa je hayo makanisa ni watanganyika??wanasali watanganyika??acheni kudanganyika na propaganda uamsho nizaidi mnavyodhani!!
 
Sikulaumu kwani hayo ndio mawazo na fikra alizokuachieni yule BABA YENU WA TAIFA.............lakini kwa sasa mumechelewa,kwani jahazi la ukombozi lishafunga nanga na limejaa Wazanzibar waukweli likiongozwa na Jumuia ya UAMSHO......na halitarudi nyuma.....kwani tunataka Tuachiwee........ Tupumuwee..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom