Recent content by Tabulele

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya miti ya kupandwa

    Panda mkaratusi wa kisasa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtawaona leo watakavyokuwa 'Nyoronyoro' wakicheza na Yanga SC, ila wakicheza na Simba SC utadhani wana 'Mota' Makalioni mwao

    Popoma unaandika hivyo lakini kiimani unaombea Yanga ifungwe then ukuje hapa kuwasifiaa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Ukiuza chupi na boxer zitatoka vzr
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Kolo mnadata mpk mnasahau kuwa hili jambo liliisha zamani, mnalileta leo
  5. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Hivi hakuna li inchi70 kwa 700k ?
  6. T

    JamiiForums Tanzania IT ilivyokuwa msaada mkubwa kwangu - Read and get motivated

    Nawezaje kufatilia mawasiliano (sms za kawaida na za WhatsApp ) bila muhusika kufahamu ?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

    Mimi ndio maana kila chakula napoandaliwa lazima mimi na yeye tule pamoja na watoto..
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kaniharibia makazi yangu

    Wewe jamaa inaonekana una umimi sanaaaaa, na wivu wa kijinga mnoo yaani... sasa hapo kakuaribiaje huyo jirani yako? Maswala ya yeye kuwek bati nyeupe wewe msouth etc ... Acha hizo,
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Yule jamaa ako aliyekutafutia ajira bado anakusumbuaaa??
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua TV used nchi 43

    Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ninauza used Alitop Smart TV inch 32

    Mm nahitaji inch 43, bajeti yangu ni 350,000/= atakaekuwa nayo akuje inbox . Nipo kahama kwa sasa
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ninayeishi nae amenibadilikia Tabia

    Pichaa liliharibikaa baada ya wewe kuforce urudiane nae na akakubali.. BTW hata huyo mtoto 59% yawezekana sio wako!
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

    🤣🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom