Mwanamke ninayeishi nae amenibadilikia Tabia

Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Sorry hivi toka upaye ufahamu ushawai kusikia neno ngono na unajua maana yake?? Ngono hufanya watu wasioowana na kuna aina 3 za ndoa, ndoa ya kimila, ndoa ya bomani na ndoa za kidini, hizi ndoa za bomani ni zile za kufungishwa na selikali, lkn nataka nikuambia ktk dini yeyote hizi ndo mbili hazitambuliki, ndoa ya kimila na ndoa ya bomani lkn selikali inatambua ndoa zote za aina 3 sasa umesema anakunyima tendo la ndoa je? Umefunga nae ndoa?? Kama hapana tambua anakunyima kufanya ngono.

Mwanamke sio ndugu ukimpunguza hautapungukiwa na chochote boss, fanya maamuzi ikiwa kama unaishi nae nyumba moja ww kuwa,mpuuzi, kila afanyacho usimfuatilie ww acha pesa ya kula fanya yako hata ukirudi hakuna,chakula kesho yake acha pesa ya kula chapa raba akupe asikupe ww achan ana fanya yako ukifanya hivi kwa mwezi mmmoja,siku akiondoka utaona umeshusha mzigo mkubwa na haitakuumiza, fofauti na hapo ni mateso bila chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Usitupigie kelele tumelala mzee. Mapenzi ni kama biashara kuna hasara na faida, kwenye mahusiano kuna nyakati za furaha na huzuni.
Leo hatuna motivesheno , kikubwa, ushauri pambana na hali yako.

Kumshauri mtu kuhusu mapenzi ni sawa na kuipigia mbuzi gitaa ukijua itacheza. Ni kupoteza muda.
 
Mpe muda mkuu, inaonekana anapitia changamoto za malezi mtoto...

Kaa naye muulize kwa upendo tatizo ni nini, yawezekana wewe pia ni tatizo...
 
Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Simba murugi
 
Back
Top Bottom