Duu hawa watu wanaojiita wameokoka ni mashwetani,ninao dada zangu karibia ya wote wameingia huko yani ni shida kuanzia kwa family zao hadi kwa wazazi.then wakisha kua walokole wanakua na roho mbaya na unafki wa kupitiliza..kikubwa fanya maamuz ya kiume ukicheka na nyani utavuna mabua mkuu.huyo...
kama hujaoa ukioa mwanamke wa kule na kuzaa nae sahau kuhusu watoto,kama ikifikia wakat wa kurud tz.utarud mwenyewe tuu watoto ni wa mwanamke.pili kama ww ni mgonga mvinyo jiandae kunoa meno kwani kule kila bar lazima iwe na burcher.ukichukua kimada lazima ukipige nyama ya ukwelii kwanza ndiyo...
Ahsante kwa kuwaelewesha wale wagum wa kuelewa kama wagalatia..Na hii ya club za madrid,man u nk ni wana maden ya kufa mtuu.leo hii ma bank yakiamua kuchukua chao wanabakia kama mbao fc tuu.
Kiongoz nimekupenda bure.Na ni hivi ili uitwe mwanamme siyo uwe na cash sana,star au elim nk.Mwanamme kamili ni yule asiye tetereshwa na maamuz yake na asiyepepesa macho kuangalia wanaomzunguka watamchukuliaje.kikubwa simamia unacho kiamini hasa mambo yako ya family. Ni kwambie jambo moja ata...
Na dhambi tuliyo nayo na inayo tutafuna ss hivi wanaume ni kuacha mwanamke kuwa na sauti na utawala ndani ya mji.Na imeandikwa ata mungu hugadhafika mwanamke anapo kua na sauti ndani ya mji.Huyo wa kwako mkuu umesha zidiwa maarifa kumtoa hapo alipo fikia ni ngum labda uwe kidume kweli...
maaskofu vidume ni wale wa congo.wametangano maandamano nnchi nzima.Hawa wakwetu wakiongozwa na yule mwenye sauti ya kinaa....! mda wote,duu mtasubiri sanaa!.
Hvi wajua dolla bilion moja sawa na tan ngap!?.akili za kuambiwa changanya na za kwako.kuna mwandish mmoja kazifanyia uchambuz vzur kweli.wa tz tusiwe ni watu wa kulishwa matango pori tuu.
Mimi ninatumia unit chini ya 50kwa mwezi nimeomba wanirudishe raarifu four huuu kwaka ss hivi.wananizungusha tuu..mtanisaidiaje hapa.yani unit moja wananiuzia kwa 360 kama nina kiwanda vile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.