$50 na laki 1 v2 viwil tofaut aise kwao hiyo ni sh 50 ambayo wanaishia kununua pipi na mafuta sas Bongo laki moja c nnaweka Mafuta ya wik kwny passo yang na chenji inarudi.? Na nnanunua chakula cha nguv wiiiiiki nzima tusifananishe tu fedha bila kujua pato la Taifa na hali ya wananchi kiujumla...
Hahahahaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo sisi team Mond ndo mmeamua kutuita kwaya ya Kijito nyama.? Kubabake
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh hii Dunia watu wanakuaga na umama..
Sas ulimtongoza wa nin.? Umerusha mawe weee kutungua Dodo kumbe ulikuw unataka dafu sas Dodo Limeanguka unasema nilikuw silitaki Dodo hili nlikuwa nataka Dafu sas naomba hili Dodo likampate mlaji mwingine, Like serious.? Upuuzi like that ndio unapelekea...
Mbona mie nliachiwa mtoto wa Miezi 6 Kisa mamaake amepata Dili la kazi Uarabuni na Mwisho wa siku haikuwa Dili bali ni Mwanaume wake wa Zaman alirudi kupasha Kiporo..
Sasa na sisi Wanaume tukamlilie nani.? Au na sie Tutoe laana kwa wakina dada/mama wenye matendo haya.? Hili Tatizo lipo kwa...
Uroho wenu wenyew mkasingizie wanaume kweli.? Kwan unapo karibishiwa na ukasema tu Ahsante na ukavunga utarogwa.? Kupungua ubonge nyanya kwanza ukate roho ya Tamaa usiwe mama kula kula, ushaletewa sambusa, soseji na nin cjui haya supu ya nin.? Lunch ushakula na mdosi hyo noon sas hyo alasiri...
Bado cjaona Ushahid hapo ni Fununu tu, Hivi na mie nikitajwa hapo it means nauza Sembe.? Toa vielelezo na Ushahidi then ripoti Interpol coz tatzo la madawa lina affect Dunia nzima hivyo akiwa na vielelezo juu ya watajwa hapo juu basi upelelezi utaanza kuanzia wanapotoa mzigo ili mizizi ikatwe na...
Aaah sana kile mitume na zama zake bhana.. Maradonna za magoli ya Mkono na timu aliyochezea ilikuw na wachezaj waliojituma na uchungu na timu yao sio hii ya sasa kila kitu wanasubir Ronaldo atafanya nin hivyo inakuw rahis kutwaa vikombe kama ananywea chai..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.