Recent content by Swordsman

  1. Swordsman

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Maeneo ni sinza, ubungo, magomeni, kinondoni, makumbusho, mwenge na maeneo karibu na hayo
  2. Swordsman

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Mkuu nahitaji chumba master chenye gypsum na tiles nyumba iwe nzuri kwa kodi ya 100,000/= kwa mwezi....????
  3. Swordsman

    House girl ana mimba yangu

    Kila siku mnaambiwa hakuna HOUSE GIRL MGUMBA ila hamtaki kuelewa haya sasa nadhan umeprove mwenyewe kisemwacho[emoji1]
  4. Swordsman

    Akina dada punguzeni kujirahisisha

    Tulia tuwafunue sana, mnaona dili sana kutuchuna eeeh [emoji41]
  5. Swordsman

    Je, hili ni anguko la Diamond Platnumz?

    Hivi siku hizi Tiwa Savage amekuwa Yemi Alade?[emoji15][emoji35]
  6. Swordsman

    Vera Sidika aelezea siri ya mahusiano yake na kaka wa kinaija

    Aiseee huyu ndo Vera Sidika mwenyewe dah[emoji39]
  7. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Swordsman

    Katika mapenzi hiki ndicho kinachouma!

    Mkuu, pole naelewa sana hii situation sikia tu kwa mwenzako omba sana kwako yasikukute aisee... Yaan ukikutana na Huyo EX wako harafu wewe umeparara na yeye ana meremeta Maumivu yake ni sawa na Mwanamke anaezaa watoto 10 at the same time [emoji27]
  9. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huu uzi nikiingia tu JF naanza nao, raha sana! Ni kugonga like tu, kila kitu like we like tuuuuu...[emoji51]
  10. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kama kawaida tuendelee ku-show love kwa kupeana likes za nguvu...[emoji5]
  11. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hatuna kosa Kisheria lakin, acha wachukie tu[emoji3]
  12. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ahsante sana Mleta mada popote ulipo kunywa soda au bia utalipia mwenyewe lakin[emoji28] na mm nmepata pata likes bhana, maana nilikua nikipata nying ni 15 tu[emoji51] Thank yu guyz, humu hakuna kubaniana bhana[emoji855]
  13. Swordsman

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nimeamini huu uzi hauna wachoyo wa likes, big up folks [emoji1474][emoji1474][emoji1474]
  14. Swordsman

    Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

    Ungekua unaogopa na dhambi ya uzinzi basi, unabagua dhambi ya kutenda... [emoji15]
  15. Swordsman

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Wasukuma mpo vizuri sana kupeana backup, mtetee tu msukuma mwenzako naona jins ulivo na mapenz nae kuliko ht mke wake [emoji2]
Back
Top Bottom