Je, hili ni anguko la Diamond Platnumz?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,464
2,000
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes nyingi zaidi ya likes

Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
0a8fa6c51975fea2b6d78a90ffb8a66e.jpg

Je hili ni anguko la Diamond?
 
Swordsman

Senior Member
Nov 9, 2016
142
500

Hivi siku hizi Tiwa Savage amekuwa Yemi Alade?
 
Punnisher

JF-Expert Member
Jul 28, 2014
834
1,000
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes nyingi zaidi ya likes

Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
0a8fa6c51975fea2b6d78a90ffb8a66e.jpg

Je hili ni anguko la Diamond?
mkuu unatumia techno
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,311
2,000
watu walianza kutabiri anguko la diamond kabla ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi, lkn barabara imejengwa na mabasi yanafanya safari sasa..

hata reli ya standard gauge itajengwa na itafika mwanza huyo jamaa hashuki.
sasa ni bora twende vijijini tuchukue mashamba tupande minazi, itakapofikia tunavuna ndio kujadili kuhusu anguko lake coz sio leo wala kesho....
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,152
2,000
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes nyingi zaidi ya likes

Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
0a8fa6c51975fea2b6d78a90ffb8a66e.jpg

Je hili ni anguko la Diamond?
Ni kweli utawala wake kwenye bongo fleva utafika mwisho ila sio kama mnavyolazimisha nyie iwe. Hivi unajua wimbo wa Justin Bieber "Baby" ndio wimbo unaongoza kwa DISLIKES Duniani ?
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes nyingi zaidi ya likes

Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
0a8fa6c51975fea2b6d78a90ffb8a66e.jpg

Je hili ni anguko la Diamond?

Anapendwa na wajinga wengi kuliko werevu
 
lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,316
2,000
Mimi ni shabiki wake damu mpaka watu wananiita wakala Wa diamond niongee ukwl huo wimbo ameniangusha kwakweli I miss you nilikuwa nao muda sana video ilikuwa nzuri lkn huu Wa fire hapana...
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
594
1,000
haahahhahhahhahhahahhahhahhhaahhhahahha nimekumbuka na ishu inayoendelea ya victor wanyama kupewa mtaa....wabongo wanafurahi sana mtu akishindwa na akiwa ombaomba mtaani ndo mana tutabaki kuwa dunia ya tatu kiumaskini wa fikra na umiliki wa malaki...media nazo zawaza kusujudiwa...hahahhhahhhahhahahahhhhhahhahahaha nchi ya ahadi hahahhahahahhahhahahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom