Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 954
- 1,578
Kama kuna sababu maalumu hata ang'ae kama theluji hawezi kukutisha!!
Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Omba yasikukute!
Vibaya hivyo kumcheka mwenzio mkuu [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahaaaaa daah nmecheka
Pole.Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Omba yasikukute!
Hahahaha Joseverest na Wewe ushaumizwa Mkuu?Aaah mkuu umenikumbusha machungu duuh
Aisee we jamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]USO na mwili vyote havina matumaini hata ukipaka mafuta hayakolei.
yeah one time..nami binadamu pia sio robot hahahHahahaha Joseverest na Wewe ushaumizwa Mkuu?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]hapo ndo utajua shetani ka bet kwenye nyota yako
Omg[emoji79] ame nini nini eti?!Ume fwafwanzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PolePole sana mkuu!
Mimi huyu Dada niliyomuacha k wa mbwembwe nyingi nimekutana naye Jana nilitamani kama ardhi ipasuke nitumbukie maana ilikuwa ni aibu na machungu.
Fwafwanzika[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Omg[emoji79] ame nini nini eti?!
Haka kamsemo cjui kwanini kamenichekesha hivi.Fwafwanzika
Nadhani wewe hujacheka. Yaani. Niliposoma tu kwa mara ya 1 nilicheka mpaka nikahisi najikojolea. Jf kuna vitukoHaka kamsemo cjui kwanini kamenichekesha hivi.
We acha tuh ...watu ni shydaaNadhani wewe hujacheka. Yaani. Niliposoma tu kwa mara ya 1 nilicheka mpaka nikahisi najikojolea. Jf kuna vituko