House girl ana mimba yangu

House girl ana mimba yangu

Songa mbele daima kurud nyuma mwiko.... Ushapiga ndege wawili kwa jiwe 1, mungu akupe nn tena dogo? Unashangaa? Acha upuuuz ww

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa unashangaa nini ulitaka hio mimba ubebe wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah nmecheka c nd apo xaxa c tumxhauri nn wakat utamu kau onja yeye

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana Mkuu, ongea na Mshua myajenge kiume kabla hujasepa chuo.
 
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumban tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asbh wakiamuka wanaenda shule na wazazi kazin, wanapoondoka kazin ninabakia na msichana wa kazi,

Mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratb, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada( house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu!!!

Nifanyeje?

Kila siku mnaambiwa hakuna HOUSE GIRL MGUMBA ila hamtaki kuelewa haya sasa nadhan umeprove mwenyewe kisemwacho[emoji1]
 
Nyie watoto nendeni chuo mkasome tu manake naona hizo elimu mpaka form 6 haziwasaidii kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nyie watoto nendeni chuo mkasome tu manake naona hizo elimu mpaka form 6 haziwasaidii kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
Hata hizo cha "vyuo vyao vikuu" pia haziwasaidii...

Sent using Nokia toch......
 
Ila naona Kama anatania ila Kama ni Kweli Hongera

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumban tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asbh wakiamuka wanaenda shule na wazazi kazin, wanapoondoka kazin ninabakia na msichana wa kazi,

Mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratb, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada( house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu!!!

Nifanyeje?
Ulikuwa unahamia kwenye chumba chake badala yeye aje chumba chako.?

Hujui Teknik wewe..

Msafwa
Mpoloto, Mbeya
 
Nimemaliza form six may mwaka huu nikarudi home, nyumban tupo 5 tu yaani baba, mama, wadogo zangu wawili na msichana wa kazi ambao asbh wakiamuka wanaenda shule na wazazi kazin, wanapoondoka kazin ninabakia na msichana wa kazi,

Mwanzo nilichukulia kawaida kukaa nae ila baadae nikabadili utaratb, wazazi wakiondoka naenda chumbani kwa dada( house girl) tunafanya yetu mpaka saa 2 anaendelea na kazi zake, Jana matokeo yametoka nimefaulu, leo kasikia baba yangu ananipongeza kwa kufaulu, kaingia chumbani kwake kanitumia msg ananiambia ana mimba yangu!!!

Nifanyeje?
Muoe tu tena litasanuka ukiwa bado upo hapo maana chuo hadi mwezi wa kumi ndo vyuo vikuu vinafunguliwa. Jiandae kuwa Baba utanyooka.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unabahati maana hatutaki wazaza kwenye shule zetu za kata!!
 
Sasa kama mimba ni yako si uchukue, mwambie akuwekee kwenye bahasha,, wakati unakula nyapu kuna mtu ulimuomba ushauri?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom