Recent content by Swenailie

  1. Swenailie

    Mtazamo: Wanaume wapole wanaongoza kwa kusalitiwa na wapenzi wao

    Wapole hawasalitiwi Ila mwanaume asiejua wajibu wake huyo halali yake kusalitiwa. Mwanaume mpole Ila unataka kufugwa usisalitiwe unanini. Mpole kucare hujui usisalitiwe unanini
  2. Swenailie

    Mvua ya mawe yanyesha jijini Arusha

    Lema Ni yule yule atasema ukweli bila kuogopa Na hamna atakaemdhuru sku Mungu akiamua kumchukua atamchukua yeye Na si binadam. Na kasema anawaraka kwa rais Nausubiri. Huyo ndo lema original.
  3. Swenailie

    Wanaume nani kawaroga? Matukio yenu ya kujinyonga yamekuwa mengi

    Mwanamke akipenda anapenda kweli Na akiumizwa anaumia sana, lakini atalia wee atanyamza maisha yaendelee. Sasa wewe mwanaume kabisa unakimbilia kamba kweli.??? Yan Ni heri anaeamua kuwa muhuni maana kawa muhuni Ila bado Ni faraja kwa mama yake. Sasa we unaeona hata wazazi hawastahili kukupenda...
  4. Swenailie

    Wanaume nani kawaroga? Matukio yenu ya kujinyonga yamekuwa mengi

    Aisee wanaume nani kawaroga? Nashangaa matukio ya kujinyonga kisa mapenzi wanaume wanaongoza, yani tangu niko chuoni nasikia mwanaume wa corse flani kajinyonga kisa mapenzi, nimekuja mtaani nasikia mwanaume kajinyonga kisa mapenzi tena mchepuko. Nachojiuliza uanaume wenu uko wapi? Ujasiri wenu...
  5. Swenailie

    Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Kumbuka waarabu ndo wanaongoza kutoa... T..G..o maana Ni heri aolewe ya mbele ikiwepo ika ya nyuma si shida. Starehe kubwa yao ndo hiyo
  6. Swenailie

    Mtangazaji aliyesema Iringa kuna mashoga alifanya utafiti?

    And angalieni utafiti unafanyika kwa namna nyingi Kuna mkuu wachuo alishafanya utafiti kubaini Ni wanafunzi wangapi wanaojiuza akaomba watu wanaojiuza wakamatwe kilichotokea wakamatwa vijiwe vyote vya mkoa flan ikawa anaeruhusiwa kutoka Ni mwanafunzi tu awe Na kitambulisho Au awasiliane Na ndgu...
  7. Swenailie

    Mtangazaji aliyesema Iringa kuna mashoga alifanya utafiti?

    Aisee hivi kuskia umeskia Na macho umekosa? Mradi wa SAUTI umeanzia mkoa gani? Na umefanikiwa sana mkoa gani fanya utafiti. Iringa uko juu ndgu yangu huu mradi umebamba sana Iringa. Kazi kwenu
  8. Swenailie

    Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

    Jibu rahisi Ni oukey mtu ujiongeze kabisa.
  9. Swenailie

    Malalamiko juu ya Usajili wa Makampuni BRELA

    Du sasa naetaka kwenda kusajili nafanyaje
  10. Swenailie

    Hivi ni sawa kumficha mpenzi wako baadhi ya mali unazomiliki?

    Mpenzi tu Au mmeshaoana mkawa mke Na mume. Naona kama mmeoana si vyema kumficha Ila kama bado wapenzi hata uchumba bado Ni sahii asilimia Mia kumficha
  11. Swenailie

    Nawezaje kumuacha???

    Sisi tatizo letu lilikuwa dini. Mm ni muislam yeye ni mkristu haikua rahis kuacha uislam na haikua rahis yey kuacha ukristu na tungeishi pamoja watoto tungewalea wapi. Hilo ndo lilitufanya tujue mapema hatuwezi oana
  12. Swenailie

    Msaada nafanyaje yellow fever vaccination??

    Naombeni msaada ndgu zangu natarajia kusafiri kuelekea Argentina nimeambiwa natakiwa chanjo ya yellow fever naombeni process zikoje na niko mwanza kwa sasa. Hiyo chanjo naipataje?? Asanteni
  13. Swenailie

    Nahitaji kusafiri kwenda Argentina

    Jaman naombeni msaada process za kusafir ninapasport nahitaji kusafir kwenda Argentina nimealikwa mwez mmoja tu. Mwenye uelewa anisaidie maana naskia kuna yellow fever vaccine. Nafanyaje nipate hiyo chanjo au aje
  14. Swenailie

    Nawezaje kumuacha???

    Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia...
  15. Swenailie

    Hivi Neno asante/pole baada ya tendo la ndoa bado lipo?

    Sjawahi kuficha hisia zangu akifanikiwa kunifkisha asante anazipata sana sku akishindwa huwa ananionea huruma yani na sometimes anawaza anakosa raha mm ndo nimtanie tanie awe normal ila sjawahi ona neno Pole linatumika na silipendi. Pole ya nn na huku nilikuwa nataka raha
Back
Top Bottom