chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,947
Habari wanaMMU.
Nililete kwenu hili ili nipate pia maoni/maono yenu.
Mara nyingi nimeweza kufuatilia visa vya kusalitiana kwa wanandoa/wapenzi nimegundua wanawake wengi wenye mahusiano na wanaume wapole wamekuwa wepesi au rahisi mno kuwasaliti wenzao.
Sijajua huu ujasiri wanaupata wapi au wanaume wapole ni kwamba wanakuwa legelege ama vipi, kati ya visa 10 vya kusalitiana basi visa 8 kati ya hao wanaume wengi wao wanakuwa ni wapole/wataratibu na huenda wanawaheshimu sana wenza wao.
Naomba wanawake/wasichana mtusaidie japo kidogo hapo mbona inakuwa hivi. Huenda mtizamo wangu hasi, hilo pia linawezekana.