Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Nini atakujibu mwanamke aliyekuchoka?

Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
Dar una kazi sana
 
mmmhh em ngoja nikimchoka nitakuja na jibu😎
 
Atakaa kimya tu huku akipotezea ulichosema.
Akikustahi atakujibu 'ahsante'...kavu huku akikwepesha macho.
Akiamua kukufungukia atakujibu "Bwana weee!,utajua mwenyewe!..kupendwa Bongo''...kwa sauti ya kugugumia na kukera ila jibu litakuingia barabara...
hizi kweli kama bado hujamuowa humuowi tena...
Sema hizi nakutananazo sana kwa wanawake nawaambia ukweli kuhusu Mimi afu anakupa shit kama hizo
Ila nashaanga unamwambia uongoo mtupu mpaka unashanga ndo anaaa jaaa.
 
Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] ..!!!
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
Dah...!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
Wanaume tumeumbwa mateso.!
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...

Loh,umetisha,kama mzoefu vile....
 
Mnazungumzia wanawake wote au just haya mashankupe ya mjini?maana haiingii akilini eti umwambie mkeo tena anaejielewa unampenda afu yeye akusonye
 
Mie nikikuchoka nakuacha Kimya Kimya, maneno yote ya nini sasa wakati kuna wakati nilikiri hakuna Kama wewe!!! Hamna haja ya kumfanya ajihisi hii dunia inamzomea
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
Yote haya?

Wanaume tuna kazi nzito mno..
 
nawewe unakuwa wapi mpaka mwanamke anakuchoka piga kazi bhana
 
mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!

mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...

najuta kuwa na kifurugobe km wewe..

katika wanaume weewe mwanaume looihh!!

wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!

ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom