Nawezaje kumuacha???

Nawezaje kumuacha???

Ndo mana nikasema kama una mtu kimeo ni shida na namaanisha labda ni mchepukaji pia ni shida lakini kama yuko peace mbona mambo easy.Na ndo maana nikasisitiza aina ya mtu maana najua hatufanani.Na utachepuka kama ukiwa na kimeo lakini kama umeridhika na ulienae kuchepuka kunatoka wapi?
Nimekupata...

Concern yangu ni hili swala la kuwa eti mu mwili mmoja. Mimi sioni uhalisia wake zaidi ya kuliona kuwa ni sham.

Na usiniambie kuwa kupanga wote mipango ya maisha ndo uthibitisho kuwa mu mwili mmoja.

Na sijui ni kwa nini watu huiamini hii dhana
 
Jambo moja najua hakuna siri ya watu wawili ni bora kuacha mapema kuliko kuja kudhalilika na kudhalilisha wenza wenu mbele ya jamii.
 
Kwa kuangalia thread zako za nyuma naona unanogesha jamvi.

Hata hivyo asante kwa hadithi...yanatokea kwenye jamii haya.

[HASHTAG]#heriniwepekeyangu[/HASHTAG]
kumbe nimeingia chaka kutoa ushauri.
 
Mpaka ufikie kuoa/kuolewa tayari umeshakubaliana na hali halisi na tena ukazaa Kinachonifanya ukachepuke ni kitu gani kama sio kukosa heshima
Ndani ya ndoa kuna maudhi mengi,mwenzi unamjali ila ye hajali,Kuna watu hobby yao ni kufanya kazi hawajali wake au familia anadhani hela tu mdo suluhu,Kuna ugomvi,Uchafu, ndugu wenye karaha nk nk...na kuna ubinadamu wa kulinganisha ladha ya before and after, ndoa zenyewe watu mnaoana watu wazima 30s kwa mfano ya dunia mangapi ushaona
It needs maturity and sacrifice kuacha ya nyuma ujenge nyumba yako na mwenzio..
 
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
Mahusiano na huyu jamaa ni mazuri na matamu kwasababu kuu moja MAHUSIANO YENU HAYANA WIVU, hakuna mwenye wivu serikali yenu mnaiendesha pasipo kuwa na makunyanzi ndiyo maana mnafurahia,
 
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
KWANZA KABISA NAWASHAURI WANAUME WENZANGU, JAMANI VIJEMBE MNAONA PICHA YA KIINDI IYO INAVYO CHEZWA? YAANI KWA WANAUME WALIO KUBALI WAKE ZAO WACHAGUE MAJINA YA KUWAPA WATOTO WAO BASI UJUE JINA HILO LIMETOKA KWA MCHEPUKO WAKE.
WE DADA, YAANI ULITAKA HADI UMPE JINA LA UYO MCHEPUKO WAKO, BORA KUOA MAMA WA NYUMBANI, AKAE NYUMBANI ALEE WATOTO.
 
Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
NENDA UKATUBU, DHAMBI HIYO! TUBU KWA KUMAANISHA TENA FUNGA NA KUOMBA, HAYO MAPEPO YATAKUACHA! USIPO ACHA MWISHO WA SIKU NI MAJUTO!na majuto ni mjukuu si unajua??
 
kama hichi kisa chako ni kweli aisee umenisikitisha sana we dada, najaribu kufit kwenye viatu vya mumeo nashindwa, mana huwa nawaza siku nikigundua mume wangu anani cheat sijui itakuaje. Na maelezo yako yamekaa ku justify unachofanya ili tukuhurumia, ila ukweli ni kwamba unakosea sana tena sana, yani hata sijui niseme nini, ila huku juu kuna ushauri wa wengine mzuri tu hebu ufuate, na umkemee huyo shetani, mana shetani hapati chance kama hutampa chanzo, anza kui control nafsi yako kwanza
 
Nimewaza kama wewe. Kwanini wasingeoana basi kama hawakuwa na tatizo lolote. Nimehisi huu ni uongo wa kutunga na kutusumbua
Sisi tatizo letu lilikuwa dini. Mm ni muislam yeye ni mkristu haikua rahis kuacha uislam na haikua rahis yey kuacha ukristu na tungeishi pamoja watoto tungewalea wapi. Hilo ndo lilitufanya tujue mapema hatuwezi oana
 
Duuh life is not fair kwa hiyo mnawachora tu wenza wenu sio. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom