el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,065
Nyie watu ya kanda ya ziwa bwana... MUHUMBA ni babu yako auNaamini ni neema hiyo toka kwa wetu muhumba, baada ya mtetezi wa wanyonge kutoka kifungoni
Nyie watu ya kanda ya ziwa bwana... MUHUMBA ni babu yako auNaamini ni neema hiyo toka kwa wetu muhumba, baada ya mtetezi wa wanyonge kutoka kifungoni
Milele AminaKweli Mvua kubwa ya maana Sana imenyesha kwa muda WA nusu saa na kukata, Tumsifuni Yesu kristo
Mvua ya mawe imenyesha pia mwanza jana je nako kaachiwa nani?Haki ikitendeka kwa mtu asie na hatia, mbingu zinafunguka,,Haki alopewa mahakamani leo imesababisha mbingu zifunguke na mvua kunyesha.....
Asingetoka mvua isingenyesha?Naamini ni neema hiyo toka kwa wetu muhumba, baada ya mtetezi wa wanyonge kutoka kifungoni
Hahahahahaha mvua ya mawe ni baraka? Ama kweli mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo wallahMvua kubwa inatandika Arusha na vipande vya mawe hii ni ishara.na Baraka toka kwa Mungu
Wakulima ingieni mashambani Siasa ni Kilimo
Tulianza na MUNGU tumemaliza na Mungu
Hakuna anayeumia kwa sab ameshabadilika.Najua unaumia sana kwa Lema kutoka.
Lema Ni yule yule atasema ukweli bila kuogopa Na hamna atakaemdhuru sku Mungu akiamua kumchukua atamchukua yeye Na si binadam. Na kasema anawaraka kwa rais Nausubiri. Huyo ndo lema original.Hakuna anayeumia kwa sab ameshabadilika.
Arusha ilishabarikiwa kwa miaka mingi mnoMvua kubwa inatandika Arusha na vipande vya mawe hii ni ishara.na Baraka toka kwa Mungu
Wakulima ingieni mashambani Siasa ni Kilimo
Tulianza na MUNGU tumemaliza na Mungu
NimekumbukaBaraka imefunguliwa.. Hakika kweli ni mwana wa Mungu....
Kuna jambo hapo!
Kwa hiyo unadhani hiyo mvua ina uhusiano na kutoka kwake?Kweli ushabiki mbaya.View attachment 476447
Muda mfupi baada ya Mbunge Wa Arusha Mjini Mh G Lema kuachiwa mvua ya Mawe imelisafisha jiji la Arusha kama inavyoonekana hapo pichani.
Watu walikua wanashangilia kutoka rumande kwa Mbunge huyo aliyekaa ndani takribani miezi minne.
AmeenBaraka imefunguliwa.. Hakika kweli ni mwana wa Mungu....
View attachment 476447
Muda mfupi baada ya Mbunge Wa Arusha Mjini Mh G Lema kuachiwa mvua ya Mawe imelisafisha jiji la Arusha kama inavyoonekana hapo pichani.
Watu walikua wanashangilia kutoka rumande kwa Mbunge huyo aliyekaa ndani takribani miezi minne.
Kwani wakati ananyimwa dhamana maagizo yalikuwa yanatoka kwa nanMaagizo gani? Kutoka kwa nani?
Hahaahahaaaaaaaaaaaaaa jf raha sanaLema njoo na huku kwetu mvua inyeshe maana huyu sizonje anasambaza ukame tu