serkali imeweka sensa ifae kwa hitaji fulani mfano mipango ya maendeleo,wao kwa kutumia mpango wa serkali wanaleta agenda yao,kwanini wasitenganishe dini na serkali....!?
Kuna hili suala la mikopo kwa wanafunzi,inashangaza sana wanafunzi wanafanya field kwa hali ngumu mfano SAUT Mwanza,xaxa inakuwaje vyuo vingine vinapewa allowance halafu vingine vinayumbishwa......au sababu saut ni chuo cha mtakatifu na hawajazoea kelele ama maandamano?...au kuwa bali na ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.