Ajira za ualimu kwa watu wasio na shahada ya ualimu

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.
 
nani akachafuke chaki na kupiga kelele kutwa nzima halafu mshahara kidogo.......,fupa lililomshinda fisi mi sitaliweza,.......Bora niendelee na biashara yangu ya vitumbua inanilipa zaidi ya ualimu
 
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.

Hizo nafasi mbona zipo tu hata kabla ya walimu kugoma na walikosa watu?
 
Kama wengi wa walimu wa sasa hawajalipwa mishahara/kuongezewa mishara baada ya kupandishwa daraja, unategemea serikali itawalipa nini hawa waalimu wapya??
 
Hao wasio na shahada za ualimu wao wako tayari kufanya kazi kwa kujitolea bila malipo?
 
Huu ni upuuzi mwanana, hivi kwani pale Lugalo si kuna wanajeshi ambao hutumiwa pia kama madaktari wa akiba wakati wa migomo ya madaktari raia? Basi tuwatumie TPDF wetu wakati huu ambapo hakuna vita, JWTZ ni wepesi sana kujifunza na kufunza wenzao... Nchi hii tutasikia mengi!!!
 
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali kisivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.
upo siriaz kweli..............serkali sikivu kiaje!?
 
Mtoa mada uana mtindio wa ubongo angalia haya mambo jinsii yalivyo kwanza
ishu sio kazi ishu ni hela wewe
kazi za ualimu zimedharauliwa kitambo na ndio maana wanataka kiifanya fani kuwa
dampo
 
Mtoa mada uana mtindio wa ubongo angalia haya mambo jinsii yalivyo kwanza
ishu sio kazi ishu ni hela wewe
kazi za ualimu zimedharauliwa kitambo na ndio maana wanataka kiifanya fani kuwa
dampo

Hoja hii imeungwa mkono mkuu.
 
"Wewe ukikiona cha nini, wenzako wanasema nitakipata lini" Tunasubiri wafukuzwe nasi tuingie. Tunasubiri kauli ya mkuu wa kaya. "LIWALO NA LIWE"
 
Mwaka huu ni mwaka wa shetani kwa serikali dhaifu. Walisema madaktari ni wabinafsi na wana tamaa, watasema nini kuhusu waalimu. Bado wasubiri mgomo wa wafanyakazi wote kupinga marekebisho ya sheria ya mafao ya uzeeni. Anayelishauri taifa ana homa ya uti wa mgongo,au ebola anakaribia kukata roho. Kama mama magreth sita kasema waanzishe program ya kutoa mafunzo ya tiba kwa miezi sita,nadhani kwa waalimu anaweza kuanzisha emergency program ya wiki mbili kwa ajili ya kufundisha masomo marahisi kama sayansi kimu.
 
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.
K
Kawaambie waheshimu mahakama basi kwani wanatoa ajira wakati mgogoro haujaisha? Tatizo la Walimu ni kubwa kwanini waliamua kusitisha ajira kwa Walimu wasiokuwa na taaluma ya Ualimu? Umekurupuka kajipange
 
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.
mshahara sh.ngapi??
 
Hao waatakaojipeleka wajitayarishe na mgomo hata kabla ya kuanza kazi!
 
serikali imekosa la kufanya inatapatapa haina jipya ngoja iaibike yaani walimu wanaivua nguo mpaka watoto wanaiona serikali ni kichaka cha wahuni wasiotakia mema maisha ya wanafunzi chuki inaongezeka kuliko hapo nyuma na hili ndio taifa la kesho sijui ccm itajificha wapi
 
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu. kama taarifa hii ni ya kweli basi wadau wasio na ajira waandae vyeti.

Acha Umbeya wewe, labda waajiri wasiojua kusoma na kuandika lakini si wasomi kufanya kazi ya ualimu kwa mshahara ule
 
Back
Top Bottom