kila siku mimi tu jamani

wakati mwingine wanakucheat kwasababu unawapa kila kitu,wanaenda kwa wanaowanyima baadhi ya vitu!jaribu kubadili aina ya mahusiano uliyonayo na hao wanaume my dear!si nyakati zote kujitoa kiasi hicho unachofikiri unajitoa kinasaidia kulimudu penzi!mi huwa naamini mapenzi hujengwa na vitu vidogo sana na hubomolewa na vitu vidogo vile vile!so badili karata mama!pima maji kwanza kabla hujatia unga kusonga ugali!

Hebu mshauri tena snowhite bana..
Do you mean ukimpa mtu kila k2 anakumwaga??
 
Last edited by a moderator:
Kaka na bhange hizi u-marketing manager ntauweza wapi? Mie nilitoa fotokopi ile kitabu ya wifi nikaisoma, nikapata lesson for life! Ndo maana natamani na mama pita asipitwe,lol
Dada King'asti kumbe ww ndo marketing manager? u should hv told me before tupake rangi chumba cha mzee home!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh? It is the only copy ya swahili novel in my book shelf. Nitakisoma tena upya, ni somo kwa wadada na wakaka pia aisee!
dada umesema kile kitabu ni kizuri nilikisoma kikanipa funzo sikuai i kufikiri maishani .
 
Hebu mshauri tena snowhite bana..
Do you mean ukimpa mtu kila k2 anakumwaga??

pacha hii dunia ina mambo kakaangu!kuna story falni hivi kuna mama alituhadithia ofisini ilinifanya nitafakari kweli kweli kuhusu kitu kinaitwa ridhiko la kimapenzi kwa mwanadamu!huyo baba alikuwa ana mahusiano na house girl,mke wake ni bomba ile mbaya,then anafanya yale yote unajua mwanaume anataka afanyiwe pacha!yet yule mume alikuwa anatoka na huyo binti wa kazi,mkewe alipokuja akugundua akamuuliza mumewe nini sababu,kama ni kupika nakupikia,natunza nyumba,nafanya miradi,tunasali pamoja,nakuhudumia kila aina ya mapenzi na kama ni usafi ndo usiseme kuanzia nyumba mpaka mwili,mwanaume akadakia mke wangu hapo hapo kwenye usafi,ur too neat!too neat!wakati mwingine nakuwa nna hamu na zenye harufu ka ya fenesi!
 
pole sana lakin pia hebu angalia aina ya watu unaotoka nao. manake yawezekana unatoka na watu ambao wewe siyo class yao ama unaghubu sana ndo mana wanaafuta liwzo nje. hebu jaribu kuongea na uliye naye mwambie akwambaie weak points zako ambazo hazipendi. kubali kuambiwa ukweli.

on the other hand ni tabia za watu a kileo so huwez kuwa na wako peke yako. ishu tu ni kwamba lazima awe anakutunzia heshima yako basi. asikuletee wala kukuonyeshea wazi. kwa maelezo zaid ngoja nikuitie huyu mwenyekiti wa infidelity club Asprin akueleze ukweli.
Hilo ndilo neno la Mila! Tuwashukuru Mababu!!

Popote ulipo Kaizer, tuna mwanachama mpya hapa! Wanawake watakapokubaliana na ukweli huu hapo red, wangepunguza misongo mingi ya mawazo.

Jamani, wanaume hawakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Hivi huko mitaani hamuyaoni mabeberu na majogoo? Khaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Hauko peke yako,either wengi wetu hatujua kama ana cheat,ila wewe una bahati ya kujua ukweli.Mahusiano siku hizi hakuna cha peke yako,relationship nyingi zimekua kwenye mtandao bila wenyewe kujijua.Tuombe tu Mungu atuepushe na magonjwa
 
pacha hii dunia ina mambo kakaangu!kuna story falni hivi kuna mama alituhadithia ofisini ilinifanya nitafakari kweli kweli kuhusu kitu kinaitwa ridhiko la kimapenzi kwa mwanadamu!huyo baba alikuwa ana mahusiano na house girl,mke wake ni bomba ile mbaya,then anafanya yale yote unajua mwanaume anataka afanyiwe pacha!yet yule mume alikuwa anatoka na huyo binti wa kazi,mkewe alipokuja akugundua akamuuliza mumewe nini sababu,kama ni kupika nakupikia,natunza nyumba,nafanya miradi,tunasali pamoja,nakuhudumia kila aina ya mapenzi na kama ni usafi ndo usiseme kuanzia nyumba mpaka mwili,mwanaume akadakia mke wangu hapo hapo kwenye usafi,ur too neat!too neat!wakati mwingine nakuwa nna hamu na zenye harufu ka ya fenesi!
Khaaaa! Wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho hebu njooni msome hii makitu....... Ila mimi aku! Kuweni wasafi kila idara ili nami niwape raha kwenye kila idara. Kuwachafua niwachafue mie sio mchafuliwe na mijasho na minini sijui....Khaa... mtaula wa chuya. Mtu mpaka kulamba papai uone kinyaa? Staki nasema staki!

SEMA HAPANA KWA UCHAFU!!
 
Last edited by a moderator:
pole mama pita.

Sasa wee mwenyewe unajiita mama pita, maana yake wapite tu.

Majina haya jamani.
Khaaaaaaa we Kongosho hebu mhurumie mwenzio.Ungekuwa we ndo wanakucheet hivyo ungekuwa unalia kama litoto lidogo.uwongoooo?
 
Last edited by a moderator:
kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
Subiri upendwe wewe usiende unapopenda upendwe wewe kwanza dia utaenjoy, kupendwa raha kupenda karaha
 
khaaaa! Wake zangu yummy, cacico na badili tabia chini ya uongozi wa kongosho hebu njooni msome hii makitu....... Ila mimi aku! Kuweni wasafi kila idara ili nami niwape raha kwenye kila idara. Kuwachafua niwachafue mie sio mchafuliwe na mijasho na minini sijui....khaa... Mtaula wa chuya. Mtu mpaka kulamba papai uone kinyaa? Staki nasema staki!

Sema hapana kwa uchafu!!

hapana kwa uchafu!
 
Hilo ndilo neno la Mila! Tuwashukuru Mababu!!

Popote ulipo Kaizer, tuna mwanachama mpya hapa! Wanawake watakapokubaliana na ukweli huu hapo red, wangepunguza misongo mingi ya mawazo.

Jamani, wanaume hawakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Hivi huko mitaani hamuyaoni mabeberu na majogoo? Khaaa!!
Hivi we Asprin hizo pumba huwa unazitoleaga wapi?unajua mi nimeona hii quote nikabaki najiuliza hivi huyu ni nani?kucheki ni wewe nikasema looooooo wazazi wanazaa jamani.kwani mungu alimuumbia Adamu wake wangapi?Tena naomba usimfundishe Kaizer wa watu tabia zako mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Hauko peke yako,either
wengi wetu hatujua kama ana cheat,ila wewe una bahati ya kujua
ukweli.Mahusiano siku hizi hakuna cha peke yako,relationship nyingi
zimekua kwenye mtandao bila wenyewe kujijua.Tuombe tu Mungu atuepushe na
magonjwa

na kufunga kwahitajika pia
 
kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
pole sana dada yangu kuwa na subira na siku moja utampata wa kweli mpaka utafurahi mwenyewe.
 
Hivi we Asprin hizo pumba huwa unazitoleaga wapi?unajua mi nimeona hii quote nikabaki najiuliza hivi huyu ni nani?kucheki ni wewe nikasema looooooo wazazi wanazaa jamani.kwani mungu alimuumbia Adamu wake wangapi?Tena naomba usimfundishe Kaizer wa watu tabia zako mbaya.
Mtake radhi mwalimu wangu! Sijawahi kumfundisha, bali ye ndo hunifundisha.

BTT: Unataka kuniambia kila kitu Mungu alivyokiumba ndivyo kilipaswa kuwa vilevile? Mfalme Suleiman alikuwa na wake wangapi? Hebu jaribu kufuatilia na mitume na manabii weeengi waliotukuka kwenye baibo uone walijimilikisha wanawake wangapi? Unataka kunambia wakati akiumba wanyama aliumba jogoo moja na mitetea mingi? Beberu moja na mbuzi mee wengi?

Stuka Blue G! Think!

Hebu niambie, hao wanawake kibaaaao mtaani ambao hawajaolewa au hawana wapenzi unataka vikojoleo vyao vizibe? Acha kuwa selfish, kizuri kula na nduguyo. Haya come this way kwa ukaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mwalimu. Usisahau kupeleka somo hili kwa wanafunzi wako, na hasa Kaizer.

yani hiyo ndo itakuwa baseline siku darasa likianza na nitagawa manuals kwa kweli,mi sitaki watu wawe hawaelewi wakati wa vipindi kisa darasa chafu!akha huo muda wa kufanya remedials uko wapi?shurti darsa livutie ili somo lieleweke vizuri,darsa likiwa chafu hata mtu kuuliza maswali anashindwa,kupiga makofi anashindwa,si anaogopa vumbi!matokeo yake kwenye evaluation inakuwa lesson unsuccessful ~mi spendi kabisa!
 
Back
Top Bottom